What are the list of things that makes your wife & husband or fiancee successful??

Mbu sijawahi kuona ukilalamika definitely this week has not been gud to you, hebu mueleze BJ labda anaweza ku-accomodate what's lacking

...khaaaa? nikipigwa kibuyu? Hapana bana, heri ya nusu shari...naona leo ziraili hachezi mbali na mimi.
Ijumaa ya leo nimelichukia kabisa jukwaa la Mapenzi...ile sredi imeniumiza sana, hasa jamaa alivyorudi chumbani kumbembeleza mtoto.

Am out.
 
Love is in the AYYYYYEEEER!!!
A%20S-heart-2.gif
:love::hug:

Should get rid of that.......LOVE IS NOWHEYERRRRR:disapointed:
 
Dont tell me you are in love with him already, I know for sure you cannot resist what you feel l.o.l

Mashallah!!..acha nimezee tu japo resisting is too hard!..the look na hicho kifua, ni matata!!


BJ hii dunia na majaribu ya ki leo unaweza ukawa na hizo ingredients zote na still ukachemsha. hivi kweli dunia ya leo unaweza ukajiamini kusema kwamba wewe ni honest? i doubt!

Tru, kuchemka kupo sikatai..ila in reality, you can always tell mtu yukoje..kama anajali sana, mnyenyekevu nk...na pia haimaanishi maisha yanakuwa mswano bila mikwaruzo labda uishi na malaika ambapo ni fantasy hiyo!!
Najiamini kusema ni honest, kwa hilo tu!..No doubt at all!!..


...mnh, angalau BJ umekuwa mkweli. Ingawa mnh, ukishakuwa na hizi Qualities; Honest, Understanding and supportive, Iweje tena uwe na weakness? pls usinijibu vibaya, leo 'najiskia ku commit suicide' tu!

weakness hazikosekani Mbu mana hamna yoyote aliyebarikiwa 100%!..tena wengine weakness zako zinaweza kufunika mazuri!!..mwisho wa siku huwezi kubalance, hivyo ni kudeal na mwenza wako kwa atakavyopungukiwa mathalani alikuvutia mpaka mkawa wote maishani/kwenye mapenzi!!..
 
...khaaaa? nikipigwa kibuyu? Hapana bana, heri ya nusu shari...naona leo ziraili hachezi mbali na mimi.
Ijumaa ya leo nimelichukia kabisa jukwaa la Mapenzi...ile sredi imeniumiza sana, hasa jamaa alivyorudi chumbani kumbembeleza mtoto.

Am out.
Mimi nimegonga thanks tu maana nimeshindwa hata kukomenti kila nachofikiria nikomenti nashindwa niandike nini
 
...khaaaa? nikipigwa kibuyu? Hapana bana, heri ya nusu shari...naona leo ziraili hachezi mbali na mimi.
Ijumaa ya leo nimelichukia kabisa jukwaa la Mapenzi...ile sredi imeniumiza sana, hasa jamaa alivyorudi chumbani kumbembeleza mtoto.

Am out.

Dah... nimesoma kile kisa... sijui ningekua mimi ningefanyaje ila sina nilichojifunza ila ku-confirm tu that "it takes two to tangle". Mara nyingi wanaume tunalaumiwa bure wakati hatufanyi wenyewe

Imeniharibia mood kabisa na JD ipo mezani
 
Yeah, mimeoa almost a decade ago na nina katimu kangu ka mpira... its a nice journey to an island in the moon. lots of adventures, sight seeing and beautiful world

Karibu sana kilabuni

Damn, I envy you!..nice to hear the good side mana e'time watu tunapenda kuongelea upande mmoja tu!..Thanks, kilabuni nitaingia na huyo baba mtoto mapema 2012(kama hatujachenjiana)...Weekend njema!..
 
mkuu weye wataka yule wa hewala baba?

Sio kivile, ila ambaye "anatuelewa" kuwa 'ndivyo tulivyo' hatuwezi kugeuka hata siku moja tukawa jinsia nyingine...

hapo atakuwa amesolve tatizo kubwa sana.....kama siye tunavojaribu kuwaelewa lakini hadi tunakufa hatuwezagi

Matatizo yanaanzaga pale ambapo wanataka tuwe kama wao wanavotaka mkuu....

sasa leo ni ijummaaa
 
Back
Top Bottom