What a shame.CBE

mmeishaiona tumaini ya iringa?
Ni kama shule ya bush vile majengo,ukiambiwa huwezi amini mpaka uone.

umenikumbusha,kuna cku nlipita mitaa ya muccobs kule moshi,nikashndwa kuelewa kile ni chuo au secondary ya kata,kwa kifupi kile chuo majengo yake hayana tofauti na ile rau secondary pale jirani yake!
 
Labda ni "chuo cha msaada kwenye tuta".
Hili linchi tabu sana!!!!!

Vitabu hakuna, library zipo hoi, hakuna laptops/computers za kutosha.........lakini uongozi wao wapo busy na vimini na vitopu!!

Hopeless!!!
 
CHUO KINALIPWA PESA NA WATUU HAWASOMI BURE ILA KUTOA PESA YA KUNUNULIA RANGI YA KUPIGA KILA MWAKA WAMESHINDWA? ANGALIA MOJA YA MADARASA YAO HAPO CBE.
WHAT A BIG SHAME.o
View attachment 50421
ulikuwa wapi kuweka picha hiyo kabla hamjazuiwa kuvaa hovyo hovyo?Upende usipende utavaa kama chuo kinavyotaka.Kwani hukujua kuwa hakuna rangi wakati unaomba kujiunga hapo?vipo vyuo vingi vinavyotoa kozi sawa na za CBE ambavyo vina rangi nzuri sana mbona hukwenda huko?Wenzako wanaojua maana ya elimu sio rangi ya madaresa wamesoma hapo hivo hivyo na wana ma CPA na vyeti vingine vinavyoheshimika duniani.Kama unataka urembo na maz=vazi hapo sii mahala pake nendeni kwa Lundenga na Mustafa Hasanali bado wanaitaji waumini.
 
CHUO KINALIPWA PESA NA WATUU HAWASOMI BURE ILA KUTOA PESA YA KUNUNULIA RANGI YA KUPIGA KILA MWAKA WAMESHINDWA? ANGALIA MOJA YA MADARASA YAO HAPO CBE.
WHAT A BIG SHAME.o
View attachment 50421
ukistaaajabu ya mussa utayaona ya filauni........kumbe hata vyuoni watu wanakaaa hivi ......yaani hapa sioni tofauti kati ya darasa nilisomaliza la saba
 
CBE ndo chuo kinachotoa watoa huduma maisha na bilicanas sa madarasa ya nn?!
 
Back
Top Bottom