What a coincidence

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Weekend ipoje pande hizo! wadau wa CC siku moja nilikuwa nilikwenda airport kumpokea mgeni flan... kwa bahati mbaya ndege ikachelewa kufika basi pale nilipokuwa nimekaa kulikuwa na watu kama wa3 nao pia wanasubiri kupokea wageni wao, basi nikawajoin kutaanza kupiga story za hapa na pale... pasipo kuulizana chochote kuhusu wageni wetu. ndege ilivowasili tukasogea kwenda kuwapokea wageni wetu cha kushangaza kumbe wote wa4 tulikuwa tunamsubiri mgeni mmoja! je wewe ushakutana na coincedence yoyote????
 
interesting..
coincidence hizo ni wageni wanaokuja kwa ndege tu
mostly from Europe lol

sidhani ukienda stesheni ya reli au ubungo kuna coincidence hizo saana lol
 
Nakumbua wakati fulani mwaka 1980 nilikuwa na miadi ya kuonana na Bishanga pale Twiga Hotel, wakati anafika kumbe The Finest naye alikuwa na miadi naye wakutane pale pale............. ikabidi tusongeshe bierrr wote mpaka majogoo.................LOL
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umenikumbusha mambo mawili makubwa:
1. Enzi za twiga muziki unapigwa pale usiku, hivi ile bendi ilikuwa inaitwaje?
2.Tha Finest jamani,mbona amekuwa adimu hivi,yaani ni rahisi kumwona sisimizi mwenye mimba kuliko TF,whatssup TF? Nani kakukrea jamvini?
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaa Bishanga ..... Ile bendi ilikuwa inaitwa BAYANKATA
 
Last edited by a moderator:
kumbe mgeni akipokelewa Air Port na watu wanne ambao hawajuani, kumbe hiyo ni coincidence? What a coincidence!!
 
Nilikua nasafiri kwa madhumuni ya kupeleka Posa ya swaiba wangu.
Tulipoingia garini ticket yangu No ikawa zimegongana na Mzee hivi, mtu mzima ambae tayari alinikuta mi nishakaa sitini, kabla Konda hajaja kuondoa tatizo ikakuta tushatoleana maneno yasio na staha mie na huyo mzee.
Nilipofika niendako mzee yule ndiye aliyekua Baba mkubwa wa mposwaji .
Nikamuomba radhi vikesha.
 
Weekend ipoje pande hizo! wadau wa CC siku moja nilikuwa nilikwenda airport kumpokea mgeni flan... kwa bahati mbaya ndege ikachelewa kufika basi pale nilipokuwa nimekaa kulikuwa na watu kama wa3 nao pia wanasubiri kupokea wageni wao, basi nikawajoin kutaanza kupiga story za hapa na pale... pasipo kuulizana chochote kuhusu wageni wetu. ndege ilivowasili tukasogea kwenda kuwapokea wageni wetu cha kushangaza kumbe wote wa4 tulikuwa tunamsubiri mgeni mmoja! je wewe ushakutana na coincedence yoyote????
aya nimegee kidunchu mgen alikua me/ke..........wasubiriji je mlikua wote ke ..tafazal usinibanie uhondo
 
Nilikua nasafiri kwa madhumuni ya kupeleka Posa ya swaiba wangu.
Tulipoingia garini ticket yangu No ikawa zimegongana na Mzee hivi, mtu mzima ambae tayari alinikuta mi nishakaa sitini, kabla Konda hajaja kuondoa tatizo ikakuta tushatoleana maneno yasio na staha mie na huyo mzee.
Nilipofika niendako mzee yule ndiye aliyekua Baba mkubwa wa mposwaji .
Nikamuomba radhi vikesha.
hapo pa tamu
 
:glasses-nerdy:what a concidence, huwa napata mademu wanaofanana majina, mpaka nikawa naijuliza why?:smiling:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom