Wezi wa simu wanaweza kukutia uwendawazimu!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Foleni ndeeeefu kwenye daladala, jamaa kaona heri amtumie sms bosi wake kumtaarifu kuwa atachelewa ile anamaliza kuandika tu kibaka kakwapua simu. Jamaa kaishia kupiga kelele' Bonyeza send, bonyeza send!
Mchana mwema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom