Wezi wa ng'ombe wapatao 100 wauwa huko madagascar

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
Wezi hao waliuwa na wananchi/wanavijiji kuanzia Ijumaa, ambapo wezi 67 waliuliwa siku hiyo huku wengine 23 wakiuwa usiku kwa kutumia zana za jadi.

Wezi wa ng'ombe wamekuwa wakiwasumbua mara kadhaa wanavijiji hao , huku wakipewa kiburi na maofisa mafisadi nchini humo.

Polisi limepelekwa maeneo hayo ili kuepusha mauaji ya kulipiza kisasi.

Chanzo>>>AFP: 100 killed in Madagascar cattle rustling unrest
 
Back
Top Bottom