Wezi wa maembe!!!

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
Jamaa wawili waliiba embe kiroba kizima wakakimbilia mochwari bila kujua,
wakati wanaingia wakaangusha embe 2 mlangoni, mlinzi hakuwaona alilala aliposhtuka akasikia jamaa wanagawana " hii yako hii yangu", mlinzi akakimbilia kumwita doctor "njoo usikie malaika na shetani wanagawana maiti", walipofika tu mlangoni,
wakasikia "na zile mbili tulizoacha mlangoni?"
doctor na mlinzi mbioo!.......................LOL
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom