Wezi wa EPA wafungwa miaka mitatu, sie wa kuku tunafungwa maisha

Tayari walikuwa wanatumikia miaka mitano jela? kwa makosa mengine, je hii miaka mitatu si itakuwa imeiingia kwenye ile mitano ya kwanza na punde watakuwa wanakula bata mtaani au nakosea?
 
Wanabodi Heshima Kwenu,Hii habari ya kada wa CCM kushiriki kwenye wizi EPA na pesa hizo kutumika katika kufanikisha uchaguzi na bado chama chake mpaka leo hakijawahi kutoa kauli yoyote ya kumkana au kumvua uanachama kinaleta maswali mengi yasiyo majibu: Soma hiyo habari:

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 18 jela Kada wa CCM, Rajabu Maranda na binamu yake, Farijala Hussein katika kesi ya tuhuma za kuchota Sh2.2 bilioni za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Mahakimu wawili katika jopo la waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo waliwatia hatiani watuhumiwa kwa makosa sita kati ya saba yaliyokuwa yakiwakabili na kuwahukumu kifungo cha miaka mitatu jela kwa kila kosa.

Source: Mwananchi

Mytake: CCM Mnajitanusua vipi kwenye wizi?Wananchi wangependa kupata ufafanuzi wa mambo kama haya siyo propaganda mnazoendesha kina Nape na Mwigulu
Wajamani wezi wakubwa kama Rostam Azizi KAGODA wao mbona hawakamatwi na kushitakiwa, wanafungwa kina Maranda vidagaa, Tanzania yetu hii vipi?

Ushahidi wa KAGODA Manji si aliuleta mahakamani jinsi alivyodhamini kuchukua fedha za KAGODA kuna nini nchi hii?

Ukombozi wa Tanzania ni sasa nchi inazidi kufilisiwa kuanzia KAGODA, EPA, RICHIMOND,MEREMETA, BOT sasa umeme wa majenerator unaouzwa kwa bei mbaya TANESCO inafilisika na watu tunafilisika kuweka viwanda ni hasara tuu!
 
Tayari walikuwa wanatumikia miaka mitano jela? kwa makosa mengine, je hii miaka mitatu si itakuwa imeiingia kwenye ile mitano ya kwanza na punde watakuwa wanakula bata mtaani au nakosea?

Kama unaweza ukaiba billions of Tsh ukafungwa miaka 18 ( miaka mitatu -concurrent running) ni vyema kuiba baada ya miaka mitatu ukasahau umaskini na vizazi vyako vijavyo milele! Hata huko jela, Afisa magereza watakupigia magoti tu kwa vile pesa ni sabuni ya roho. Kuna tatizo la sheria legelege hapa
 
Wajamani wezi wakubwa kama Rostam Azizi KAGODA wao mbona hawakamatwi na kushitakiwa, wanafungwa kina Maranda vidagaa, Tanzania yetu hii vipi????Ushahidi wa KAGODA Manji si aliuleta mahakamani jinsi alivyodhamini kuchukua fedha za KAGODA kuna nini nchi hii??? Ukombozi wa Tanzania ni sasa nchi inazidi kufilisiwa kuanzia KAGODA, EPA, RICHIMOND,MEREMETA, BOT sasa umeme wa majenerator unaouzwa kwa bei mbaya TANESCO inafilisika na watu tunafilisika kuweka viwanda ni hasara tuu!!!
Malizia kabisa, mafao hadi ukikaribia kufa au ukifa kabisa ndo unaweza kuomba kupewa.
 
Mbona bado wapo wezi wengi sana CCM hawajafungwa? Subirini watu wakishika dola, tutawafunga kama wezi wa kuku mnavyowafunga!
 
Wanabodi Heshima Kwenu,Hii habari ya kada wa CCM kushiriki kwenye wizi EPA na pesa hizo kutumika katika kufanikisha uchaguzi na bado chama chake mpaka leo hakijawahi kutoa kauli yoyote ya kumkana au kumvua uanachama kinaleta maswali mengi yasiyo majibu: Soma hiyo habari:

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 18 jela Kada wa CCM, Rajabu Maranda na binamu yake, Farijala Hussein katika kesi ya tuhuma za kuchota Sh2.2 bilioni za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Mahakimu wawili katika jopo la waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo waliwatia hatiani watuhumiwa kwa makosa sita kati ya saba yaliyokuwa yakiwakabili na kuwahukumu kifungo cha miaka mitatu jela kwa kila kosa.

Source: Mwananchi

Mytake: CCM Mnajitanusua vipi kwenye wizi?Wananchi wangependa kupata ufafanuzi wa mambo kama haya siyo propaganda mnazoendesha kina Nape na Mwigulu

Sasa aliyeiba ni CCM au Maranda na binamu yake? wakati mwingine tumia akili Maranda hakutumwa na CCM kuibia serikali; serikali ipo chini ya CCM ikiwa kama ni hao hao CCM walimtuma kilikuwa na haja gani kumshtaki? Au ulimsikia Maranda kwenye utetezi wake alitumwa na CCM?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
SIGNATURE Yangu inajipambanua vizuri kabisa.......kama haisomeki vizuri hii hapa: Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.:wacko:
 
what reality you are talking about? Maranda was convicted and he is in jail

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom