Wezi wa Bank

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Wanandugu mambo zenu?ni hivi baada ya kula kipigo na polisi na kupozwa na yule mama,soma hapa
https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/107281-yaliyonikuta-leo.html
Ikanibidi nikafungue account kwenye bank moja maarufu hapa nchini,basi nikiwa niko bize na my wife wangu kunisaidia vpengele vya kujaza ktk fomu hiyo ya kufungua acc,mara bank ikavamiwa na majambazi wenye silaha nzito na kuamuru wa2 wote waliokuwemo mule ndani walale chini na wao kuanza kujikusanyia Mahela ya mule Bank,baada ya kumaliza zoezi hilo la kuiba,wakaanza kuwaamsha baadhi ya watu na kuwauliza
MWIZI#1:We umemuona mwizi?
DEMU:ndio nimemuona
yule mwizi akamtandika risasi ya kichwa yule demu akafilia mbali,akamkamata dume mwengine akamuuliza swali lile lile jamaa naye akakubali ya kuwa kamuona mwizi naye akauliwa ikabidi anifate mimi.
MWIZI#1:we umemuona mwizi
MIMI:hapana mie sijawaona ila mke wangu amewaona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom