WEWE Ungefanyaje??

Jinga...............yani ningekuwa mimi huyo mdada, ningemuacha huyo mwanaume, kha! yaani anasikilizia mkewe anavyoenyeshwa ye kamute tu uvunguni hata kumnyatia na kumtandika panga alishindwa

Tena basi alikuwa katulia uvunguni huku akisikiliza miguno ya huyo mjamaa na huku mkewe akiugulia maumivu makali
 
WEWE UNGEFANYAJE?

by Boflo

Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila mwambie aje mlale hapa kwetu, mi ntajificha uvunguni na panga. Akisha ingia ukiona kamaliza kuvua nguo we ning’iniza mkono anza kuuchezesha, mi nikiuona ntatoka uvunguni na kumfunza adabu.

Mdada akafuata masharti ya mumewe na hatimae wakaingia chumbani na yule bwana , mumewe akiwa tayari na panga uvunguni mwa kitanda. Jamaa alipovua shati, mke alishangaa kuona ana makovu makubwa kifuani na mgongoni;
MKE: Heee mbona una makovu hivyo??
JAMAA: Niwe mkweli tuu, kwako dia!! mie nina tatizo sana la kupenda wake za watu, waume wengi wamekuwa wakipanga kunifumania, nilishafumaniwa mara tisa, na wote walionifumania niliwaua. Ila jaribio la mwisho nilidakwa na mapolisi nikatumikia kifungo cha miaka saba jela, Lakini ninavyopenda wake za watu sitaacha kuua. Hivi sina muda tangu nitoke huko jela hivyo nina ukame wa punda na nilipokuona moyo wangu ukakudondokea. Na nitatulia na wewe.
MKE: Heee! Haiwezekani jamani!!….jamaa akaendelea kuvua nguo alipomaliza mdada akaanza kujitahidi kuning’iniza mkono ili mumewe atoke uvunguni aje kumuokoa, mume akabana kimya, kila mdada akijitihadi kupunga mkono hakupata jibu, mdada akalalamika kwa maumivu makali, maana jamaa alimla mpaka tigo na jamaa alipomaliza shughuli zake akatokomea.
MKE: Huku akilia, ndio nini umenifanyia? Mbona hukutoka??
MUME: We we we, Weeeee mama naniii!!.. mwenyewe umesikia keshaua 9 ulitaka niwe wa kumi?
gfsonwin na rutashobolwa mpooooooooooooo!
 
Last edited by a moderator:
nipo ma dear, hapa ndipo ninapojiuliza uanaume wa mwanaume uko wapi.

Umeona hakuna jibu la moja kwa moja kwa matatizo kama hayo; inategemea na situation na mood ya wakati huo.
Kuna similar story ambayo jamaa alitoka jela na kuvamia nyumba ya couple moja ambapo baba akamnong'oneza mkewe kuwa chochote atakacho taka mpatie maana unaona kashika kisu atatuua; na akaongeza "nakupenda mke wangu", lkn it turned out yule exconvict ni gay na akaulizia kama kuna vaseline, mke akamwambie ipo bafuni naye akamnong'oneza kuwa naye akubali pia wasije wakauawa.
 
wewe unasema iyo labda ni story ila nakumbuka zamani wakati nakua mama wa mmoja wa watu maaruf sana hapa tz ninatoka nao kijiji kimoja. siku moja waliingiliwa na majambazi baba yake alikuwa tajiri sana na alikuwa mtu aliyepataga exposure kubwa sana enzi hizo za mwl sasa njemba baada ya kuiba wakasema wanataka kumbaka mama baba alishindwa kumtetea mama akabaki analia tu, mmoja wa wezi akasema tumwache mama tumuingilie baba mama akalia zaid, na kwa upendo wa zamani si unajua mama akasema bora mniingilie mimi kwani ni kazi ambayo nimezoea, chonde msamehen mume wangu. wezi wale walikuwa 3 mmoja akaingiwa na huruma akawaambia wenzie waacheni pesa tumeshapa.

but wezi wale walikuja kukamatwa baadae. sasa u can see how a woman can act wakati ambapo serious problem inataka kutokea ukimlinganisha na baba.
 
WEWE UNGEFANYAJE?

by Boflo

Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila mwambie aje mlale hapa kwetu, mi ntajificha uvunguni na panga. Akisha ingia ukiona kamaliza kuvua nguo we ning’iniza mkono anza kuuchezesha, mi nikiuona ntatoka uvunguni na kumfunza adabu.

Mdada akafuata masharti ya mumewe na hatimae wakaingia chumbani na yule bwana , mumewe akiwa tayari na panga uvunguni mwa kitanda. Jamaa alipovua shati, mke alishangaa kuona ana makovu makubwa kifuani na mgongoni;
MKE: Heee mbona una makovu hivyo??
JAMAA: Niwe mkweli tuu, kwako dia!! mie nina tatizo sana la kupenda wake za watu, waume wengi wamekuwa wakipanga kunifumania, nilishafumaniwa mara tisa, na wote walionifumania niliwaua. Ila jaribio la mwisho nilidakwa na mapolisi nikatumikia kifungo cha miaka saba jela, Lakini ninavyopenda wake za watu sitaacha kuua. Hivi sina muda tangu nitoke huko jela hivyo nina ukame wa punda na nilipokuona moyo wangu ukakudondokea. Na nitatulia na wewe.
MKE: Heee! Haiwezekani jamani!!….jamaa akaendelea kuvua nguo alipomaliza mdada akaanza kujitahidi kuning’iniza mkono ili mumewe atoke uvunguni aje kumuokoa, mume akabana kimya, kila mdada akijitihadi kupunga mkono hakupata jibu, mdada akalalamika kwa maumivu makali, maana jamaa alimla mpaka tigo na jamaa alipomaliza shughuli zake akatokomea.
MKE: Huku akilia, ndio nini umenifanyia? Mbona hukutoka??
MUME: We we we, Weeeee mama naniii!!.. mwenyewe umesikia keshaua 9 ulitaka niwe wa kumi?
Mtu amle mke wangu 0754 mpaka 0719 mm niangalie tu, wallah aheri ya kuwa mtu wa kumi kuliko kushuhudia ujinga kama huo. Heri ya kufa umesimama kuliko kuonewa ukiwa umelala.
 
Hahahahaha imenichekesha kweli...babu weee uhai mtamu lazma atulie uvunguni huku kijasho kinamtoka

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
mmmhhh ngumu hii... alifanya kosa kumruhusu aingie ndani aiseee... why would you allow that ?
 
Yaani pasinge tosha! panga ninalo uvunguni, kwanza kabisa natenganisha kichwa na shingo ikifuatia nyongo na maini!
 
Hahaha, kha, kama ni Mimi ningeacha panga uvunguni, halafu ningetoka nduki mpk nje nianze kuita watu waje kumpga jambazi limenivamia.
 
porojo tu hizo. kama ndio mimi huyo mwanamke si ningemwambia chochote kwanza nikatoka nje/sebuleni/toilet then natokomea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom