WEWE Ungefanyaje??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
[h=2]WEWE UNGEFANYAJE?[/h]by Boflo

Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila mwambie aje mlale hapa kwetu, mi ntajificha uvunguni na panga. Akisha ingia ukiona kamaliza kuvua nguo we ning’iniza mkono anza kuuchezesha, mi nikiuona ntatoka uvunguni na kumfunza adabu.

Mdada akafuata masharti ya mumewe na hatimae wakaingia chumbani na yule bwana , mumewe akiwa tayari na panga uvunguni mwa kitanda. Jamaa alipovua shati, mke alishangaa kuona ana makovu makubwa kifuani na mgongoni;
MKE: Heee mbona una makovu hivyo??
JAMAA: Niwe mkweli tuu, kwako dia!! mie nina tatizo sana la kupenda wake za watu, waume wengi wamekuwa wakipanga kunifumania, nilishafumaniwa mara tisa, na wote walionifumania niliwaua. Ila jaribio la mwisho nilidakwa na mapolisi nikatumikia kifungo cha miaka saba jela, Lakini ninavyopenda wake za watu sitaacha kuua. Hivi sina muda tangu nitoke huko jela hivyo nina ukame wa punda na nilipokuona moyo wangu ukakudondokea. Na nitatulia na wewe.
MKE: Heee! Haiwezekani jamani!!….jamaa akaendelea kuvua nguo alipomaliza mdada akaanza kujitahidi kuning’iniza mkono ili mumewe atoke uvunguni aje kumuokoa, mume akabana kimya, kila mdada akijitihadi kupunga mkono hakupata jibu, mdada akalalamika kwa maumivu makali, maana jamaa alimla mpaka tigo na jamaa alipomaliza shughuli zake akatokomea.
MKE: Huku akilia, ndio nini umenifanyia? Mbona hukutoka??
MUME: We we we, Weeeee mama naniii!!.. mwenyewe umesikia keshaua 9 ulitaka niwe wa kumi?
 
hahahahaaaaa Boflo hatamie mzee mzima ningeuchuna...bora vumbi la uvunguni kwa muda.
After there namtengenezea preject ili awafate hao tisa.....mke anauma banaa !!!
 
Last edited by a moderator:
Du nimecgeka sana hizi ndio story za mafunzo usimtishie nyau, unaweza mtegea Mkeo kwa njemba mbabe na wakala mzigo mbele yako na wakakubamiza
Mm nawasgangaa wanaokosoa thread za wenzao kwa nini wasiandike za kwao tunaweza kukuta imekuwa facebook uwanja wa kuonyeshana SURA
 
WEWE UNGEFANYAJE?

by Boflo

Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila mwambie aje mlale hapa kwetu, mi ntajificha uvunguni na panga. Akisha ingia ukiona kamaliza kuvua nguo we ning'iniza mkono anza kuuchezesha, mi nikiuona ntatoka uvunguni na kumfunza adabu.

Mdada akafuata masharti ya mumewe na hatimae wakaingia chumbani na yule bwana , mumewe akiwa tayari na panga uvunguni mwa kitanda. Jamaa alipovua shati, mke alishangaa kuona ana makovu makubwa kifuani na mgongoni;
MKE: Heee mbona una makovu hivyo??
JAMAA: Niwe mkweli tuu, kwako dia!! mie nina tatizo sana la kupenda wake za watu, waume wengi wamekuwa wakipanga kunifumania, nilishafumaniwa mara tisa, na wote walionifumania niliwaua. Ila jaribio la mwisho nilidakwa na mapolisi nikatumikia kifungo cha miaka saba jela, Lakini ninavyopenda wake za watu sitaacha kuua. Hivi sina muda tangu nitoke huko jela hivyo nina ukame wa punda na nilipokuona moyo wangu ukakudondokea. Na nitatulia na wewe.
MKE: Heee! Haiwezekani jamani!!….jamaa akaendelea kuvua nguo alipomaliza mdada akaanza kujitahidi kuning'iniza mkono ili mumewe atoke uvunguni aje kumuokoa, mume akabana kimya, kila mdada akijitihadi kupunga mkono hakupata jibu, mdada akalalamika kwa maumivu makali, maana jamaa alimla mpaka tigo na jamaa alipomaliza shughuli zake akatokomea.
MKE: Huku akilia, ndio nini umenifanyia? Mbona hukutoka??
MUME: We we we, Weeeee mama naniii!!.. mwenyewe umesikia keshaua 9 ulitaka niwe wa kumi?

Thank you very many, nimecheka hadi basi haaaa!!
 
thubutu yake...nani atoke...sijitaki?!!!

Jinga...............yani ningekuwa mimi huyo mdada, ningemuacha huyo mwanaume, kha! yaani anasikilizia mkewe anavyoenyeshwa ye kamute tu uvunguni hata kumnyatia na kumtandika panga alishindwa
 
Jamani mambo haya uyasikie tu humu kama jokes si yakutokee,mkeo kufanya tendo wakati unaona si jambo rahisi na mbaya zaidi kuliwa hadi tigo!Hakuna mwanaume ambaye anaweza kujificha wakati anaona mali zake zinaliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom