WEWE MWANA JF ANGALIA JINA LAKO HAPA. Je Limo?

KengeWaKijani

Senior Member
Jun 28, 2012
103
16
JINA LAKO LIPO HUMU?
Haya ndo baadhi ya majina ya wafanyakazi wenye mishahara ya kima cha chini Waliouziwa viwanja TMK na kuwaacha walala hoi wakilia na kuishia kutozwa Tsh 30,000 /= Bure

1. Wilson Mukama
2. Job Ndugai
3. Prof. Makame Mnyaa
4. Pereira Ame Silima
5. Dr. Florence Turuka
6. RAmadhani Kijjah
7. Omari Chambo
8. Dr. Idrisa Rashid
9. Dr. Didas Masaburi
10. Jerry Slaa
11. Paul Chagonja
12. Suleiman Kova
13. Haruna Masebu
14. Ludovick Uttoh
15. Marina Njelekela
16. Augustino Mrema.
17. Deo Filikunjombe
18. Sylivester Koka
19. Idd Azan
20. Cyril Chami
21. Mohamed Misanga
22. David Kafulila
23. Dr. Peter Kafumu
24. Selemani Zedi
25. Maulid Komu
26. Suzan Lyimo.
27. Dr. Marry Mwenjelwa
28. Zakhia Megji
30. Miraji Kikwete
31. Khalifani Kikwete
32. Junita Mramba
33. Suzan Mkapa
34. Zainab Mkomwa
35. George Rupia
36. Maimuna Mfutakamba
37. Mary Membe
38. Pharles Njelela
39. Judith Kahama
40. Wilfredy Mwanry
 
Source? Kama ni kweli basi naipenda sana serikali ya nchi yangu kwa kuwajali walalahoi.
 
nimeisikia hii kwenye uchambizi wa magazeti... amakweli mtaji wa maskini nguvu za mafisadi kha!
 
Mkuu KengeWaKijani, vipi na sisi wa Mabwepande? viwanja vyetu vya 10 X 15.
 
Kama ni kweli basi nchi yetu imepiga hatua kubwa sana kwa sababu kiwango cha maisha kiko juu kwa walio wengi hadi kufikia hao waliotajwa kuonekana ni walalahoi. Kwa hiyo sisi wakesha hoi maana yake mambo yetu safi sana kuliko hao. Ila nina wasiwasi na hiyo list maana nikama imeandaliwa kwa makusudi. Mleta uzi, confirm source please!
 
anyway...siyo lazima wote tuishi bongo!kwanza kuna joto, pili kuna foleni, tatu kuna maisha magumu....naenda kutafuta kiwanja na shamba Namanyele kwa mbunge wangu Mhe. KESSY
 
mtaji wake masikini ni mapinduzi yasiofwata sheria. maana sheria imewekwa kumlinda mwenye nacho siku zote. kwa hali hii je hatuna sababu ya kufanya mabadiliko,hatuna nia? je hatuna uwezo? naamini vyote tunavyo isipikuwa kitu kimoja tu UTAYARI ndio hatuna.
 
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba wengi waliotajwa hapo si kuwa hawakuwa na viwanja kabla! Yaani hivi vya sasa ni kama assets za ziada tu!
 
haiwezikani, hii sio sawa,
majina ya wakubwa na ya watoto wa vigogo ndo yametawala hapa,
hii sio haki,
tunanyanyaswa.
Mwisho kabisa nimeridhika kabisa na ugawaji huu wa viwanja, naunga mkono hoja asilimia mia moja.
 
Tanzania huliwa na wenye meno wale wenye moyo wakujenga bado hawajazaliwa.lol!
 
kama wameomba na kupewa kihalali bila kupendelewa sioni shida kwa hili
ila kama wametumia vyeo vyao kulazimisha kupewa ndio itakuwa shida.
 
Wazee wa "Chukua Chako Mapema". Mnashangaa nin, watu wapo kwenye "Chukua Chukua, 2015 msipowatoa pale magogon, watagawana kila kitu nchi hii.
 
Daudi mchambuzi ni hatari kwa usalama wa taifa. Huwezi kuunga hoja mkono kwa malalamiko kiasi hicho.
 
kidumu chama cha mapinduzi.............
kidumu chama cha mabwepande....................
kidumu chama cha matajiri na vigogo...............

chukua chako mapema.........


wacha wajiandalia mji wao............
 
majina yakichambuliwa vizuri tutakuta vioja zaidi TLP...CUF...CHADEMA....CCM.....YANGA. ..AZAM
maana katibu mwenezi msaidizi wa mojawapo ya vyama hajulikani......mtoto na shemeji wa kiongozi wa mojawapo ya vyombo tajwa hapo juu hajulikani
madaraka bwana...!
LIDUMU AZIMIO LA ARUSHA....! ZIDUMU FIKRA SAHII ZA MWALIMU..!
 
hayo majina ndiyo yaliyopata viwanja burka-arusha!inakuaje ktk watz 43m, hao waheshimiwa wawe wanapata viwanja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom