Wewe lakwako lingekuwaje???

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Nadhani wengi wetu tumepata kusoma na tupo ambao tunaendelea kusoma katika baadhi ya vyuo hapa nchini na hata nje ya nchi.
Na katika kupata elimu huko vyuoni huwa kuna hali ya wanafunzi kushindwa kuendelea na chuo kutokana na kufeli(DISCONTINUETION maarufu kama KU-DISCO) Na wengine kufeli baadhi ya mitihani hivyo kutakiwa kuirudia(SUPPLIMENTARY maarufu kama SAP)
Swali langu; je ingekuwa kila uki-SAP somo au KUDISCO wanakata lile joho lako la kuvaa siku ya mahafali, Wengi wetu tungevaa likiwaje???

Nikianza na mimi mwenyewe nahisi Lingebakia kama koti la Suti,

Najua kuna ambao wao yao yangebakia kama Leso, Kaushi, Fulana, vipeperushi tu...

Hebu tujuze wewe lako lingebakiaje/ungevaa likiwaje???

Jumapili njema wakuu just for funy...
 
Nilichelewa kujiunga cuo lakini siku SAP wala sija DISCO.

Vyote hivyo vyaweza kutokea kama ukiwa una fanya mchezo wakati wa masomo. Umefika vipi hadi ku qualify kuingia chuo halafu uDISCO au uSAP? Labda kama umeingia chuo kwa ku kingiwa kifua.
 
Duh..!
kwa hiyo ungelibadilisha ili liwe Koti (ama shati) mkuu?
 
Nilichelewa kujiunga cuo lakini siku SAP wala sija DISCO.

Vyote hivyo vyaweza kutokea kama ukiwa una fanya mchezo wakati wa masomo. Umefika vipi hadi ku qualify kuingia chuo halafu uDISCO au uSAP? Labda kama umeingia chuo kwa ku kingiwa kifua.

Mzee kwa ma Engineer na Madoctor ni kawaida sana kuskia nusu ya Darasa wamesap somo fulani...
 
Whaooh ni chuo gani hicho mkuu? Ndo napata kuiskia hyo...

Basi kuna mengi bado hujasikia mkuu .
Joho si kila kitu. Wenzako tulipomaliza
Kusoma unapewa hongera zako hapo futa kazi .. baada ya mtihani wa mwisho..
 
Basi kuna mengi bado hujasikia mkuu .
Joho si kila kitu. Wenzako tulipomaliza
Kusoma unapewa hongera zako hapo futa kazi .. baada ya mtihani wa mwisho..
Ila nakubali si kila mahali unaposoma lazma uvae joho km ishara ya kumaliza...kwanza majoho siku hizi hadi chekechea yapo na thamani yake ndo kwishiney kabsaaaaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom