Wewe je unafanya hv?

lila

Member
Aug 7, 2012
38
5
Hbr pple,
vijana wengi siku izi tunatumia mda mwingi kuwaza ngono na mahusiano,hata kwenye suala la majadiliano kwenye mitandao ya kijamii wengi wetu tutashabikia mijadala inayohusu mapenzi zaid kuliko masuala mengineyo ya kutujenga,,nafikiri vjana tubadilike ,tuwe na discipline ktk mahusiano then pia tutake siriaz masuala mengine ya kutusaidia na kutujenga kiuchumi pia,,.
Wengi wetu mtaona hata hi thread inaboa bt let us thnk beyond the box
 
Sasa forum ya mapenzi na mahusiano unataka tumjadili kikwete au?!!

Ndo hapo sasa ninaposhangaa na mie!!!!!!
Mapenzi ni Mapenzi na masuala ya kijamii ni ya kijamii.
Unataka tujadili siasa,uchumi na maendeleo kwenye mitandao ya kijamii na Mapenzi ajadili nani?
 
ha,ha,., Madame B najua umeguswa kwenye fani lazima ung'ake
 
Last edited by a moderator:
ha,ha,., Madame B najua umeguswa kwenye fani lazima ung'ake

wakati ndio sasa Unajua hili suala ni nyeti sana,
Mapenzi ni kitu kingine bwana asikwambie mtu,kama mapenzi Yananunua nyumba, Yanasomesha watoto, Yanakuweka mjini, Yanakununulia gari, Yanakupeleka shopping,anataka tuujadili uchumi ili utufanyie nini?
NAHISI KAPOTEA JUKWAA.
 
Ndio maana JF wameweka majukwaa husika! Kama wewe ni mzee wa mipododo unaenda huko na kama siasa unabaki kwenye siasa! Au wewe una zungumzia facebook?
 
wakati ndio sasa Unajua hili suala ni nyeti sana,
Mapenzi ni kitu kingine bwana asikwambie mtu,kama mapenzi Yananunua nyumba, Yanasomesha watoto, Yanakuweka mjini, Yanakununulia gari, Yanakupeleka shopping,anataka tuujadili uchumi ili utufanyie nini?
NAHISI KAPOTEA JUKWAA.

atakuwa na stress za kukosa kazi ya sensa
 
Umenena vema mkuu, lakn kumbuka kuwa kilajambo na wakati wake, mahali pake pia. So kunamahali pakuongelea mapenz na mahala pengne pa siasa,uchum na makilakitu kuhusu maendeleo.
 
Mapenzi yamenifanya nikaenda canada mwaka 2005 na last november nilikuwa norway 4 two months kwa expenses zao na amini usiamini kuna mtoto nishamtumia invitation letter anakuja october kwa magharama yake. So chezeiya mapenzi wewe!
 
waswahili wanasema ukipenda sana vya bure.....
 
Mapenzi yamenifanya nikaenda canada mwaka 2005 na last november nilikuwa norway 4 two months kwa expenses zao na amini usiamini kuna mtoto nishamtumia invitation letter anakuja october kwa magharama yake. So chezeiya mapenzi wewe!
Yani hapa ndo utaona wanaume wa siku hizi walivyo tena unajitapa shame upon you guy
 
Back
Top Bottom