Wet Dar es salaam

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Foleni za kufa mtu...
Kilwa rd,jangwani watu wanachapa lapa tu usafiri wa umma umekuwa mgumu
Boats za Zanzibar zimezuiwa
Radi hatari
wadada na rqmbo vichwani
Makaburi jirani na chang'ombe polisi yamefurika..ni misalabatu imechomoza
Guest zimejaa..Ahh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom