Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Tuache denial waafrika. Matatizo yetu mchawi wake ni sisi wenyewe, tuache kuwasingizia wazungu. Kwamba Mugabe ni tyrant sio propaganda, ni ukweli, ni hali halisi iliyopo Zimbabwe.
Kila siku nawauliza hao wanaong'ang'ania swala la ardhi kwamba ndio tatizo, nawauliza kwa nini iwe Mugabe tu ndiye anayefaa kulitatua kati ya mamilioni ya watu wa Zimbabwe?
Haya hao wanaoilaumu MDC kwa kuungwa mkono na UK na US, tatizo liko wapi hapa? Nitajieni nchi gani Africa leo inayoishi bila handouts za hao jamaa? Kwa nini iwe tatizo nchi kuunga mkono vyama vya upinzani lakini ni sawa kuunga mkono vyama tawala?
Jamani tuache kujificha kwenye matatizo yetu, tuanze kuyatatua sasa. Tukubali kuchukua lawama pale tunapokuwa tume-bore. Kwa hapa mshikaji wetu Mugabe katota, kachemsha, katuvua nguo waafrika wote, kuendelea kumtetea ni sawa na kukimbia uchi barabarani baada ya kuvua nguo, ni aibu kubwa ndugu zangu!
Baba yetu Mandela, icon ya Africa, amekwisha sema kuwa a tragic failure of leadership, not only in Zimbabwe, but in the region as a whole. Huyu naye ni puppet sio? Tuone aibu. Mambo mengine kama haya tunahitaji sauti ya pamoja, vinginevyo sisi ndio tunawapa akina Mugabe kiburi cha kuendelea kuua wananchi waliopaswa kuwalinda.