Wenzetu walinzia Bengazi, Sisi tuanzie wapi? Chama kimoja kutawala nchi kwa miaka 50 nao ni udikteta

Huo ni ukosefu wa akiri na kutokujua tofauti kati ya Udikteta na Demokrasia, rudi shule kwanza kisha upost kwa kuzingatia maana ya maneno hayo mawili.
dunia inaposhuhudia anguko la muammar qadaffi, kwa sababu tu wananchi wa nchi yake wamechoka kuona mtu mmoja na familia yake ndiyo watu sahihi wanaopashwa kuitawala Libya.

Ni wasaa sasa kama Waafrika, kama Watanzania kutizama upya aina ya udikteta na unduli tulio nao kama Waafrika. Qaddafi amefanya mengi mazuri kwa Libya: barabara, maji, umeme, elimu, kujenga misikiti na kila aina ya maisha bora kwa ajili ya wananchi wa libya.

la muhimu kutambua hapa ni kwamba bwana qaddafi amefanya haya si kwa kutoa pesa zake mfukoni: ametumia rasilimali za libya katika kufanikisha haya, jambo ambalo mlibya yeyote mwenye mapenzi mema na uzalendo kwa nchi yake. tatizo ni kuwa bwana huyu alikuwa akiamini kuwa bila yeye libya itayumba, kama magamba wanavyojiaminisha hapa kwetu.

kwa hapa Tanzania tuko chini ya udikteta. Tofauti na libya, udikteta wa hapa unafanywa na genge la watu wanaojiita chama cha mapinduzi. hawa hawajafanya lolote kwa nchi ikilinganishwa na dikteta-mtu qaddafi. miaka hamsini hatuna umeme, hatuna barabara za maana, hatuna huduma bora za afya na elimu yetu ni bora elimu.

ccm ni dikteta kama qaddafi au hosni mubarack.

kuna haja ya kuing'oa ccm kwa njia yoyote ile ili kama taifa tuanze upya.

tupeane mawazo tufanyeje.

wenzetu walianzia Bengazi.

Sisi tuanzie wapi?

Tofauti ya Libya na Tanzania ni moja.
Sisi wa Tanzania hatuwezi kuwa mateka wa Wachagga labda waongee na Nato na US wawasaidie CDM na Wachagga wote Tanzania na bado sisi wapenda amani tutawamaliza vibaya.
Tunawajua Wachagga wanapoishi ni Kimara Temboni na Kimara Bonyokwa tunaanza na huko jaribuni muone

Nyota ndogo na akili yako pia ni ndogo sasa kwa unavyofikiria tukipigana si tutaharibu hata hivi vichache vinavyotubeba usitake kuiga libya watarecover soon imagine wanaproduce 1.2 mil barrels za oil per day sasa sisi tutauza gnld kufikia hivyo??

Ushauri watu wamehamasika kujiandikisha kupiga kura fanya bidii kuwashawishi wote watakaojiandikisha wapige kura

mkuu tukipigana tutazidi kuwa maskini lets find njia bora tujaribu kutumia akili zaidi!

Tafakari baada ya watu kufa kenya je Raila amefanya nini cha maana tofauti na kibaki mpaka sasa?

majibu yako mazuri na mwen

waambie

Unajua kinachoendelea Kenya? Kwanza si Raila aliyefanikisha mabadiliko Kenya. Ni strong and informed civil society. Kenya ina Katiba mpya. Mambo yameanza kubadilika. Bado zinapitishwa sheria za ku-implement Katiba mpya ikiwa ni pamoja na sheria na kanuni za uchaguzi. Sasa hivi wana anti-curruption chief ambaye hana mchezo na mafisadi. Miaka michache ijayo Kenya itakuwa tofauti na sifa ni kwa Wakenya. Usijenge hoja potofu juu ya jambo usilo na ufahamu wa kutosha nalo.

Tofauti ya Libya na Tanzania ni moja.
Sisi wa Tanzania hatuwezi kuwa mateka wa Wachagga labda waongee na Nato na US wawasaidie CDM na Wachagga wote Tanzania na bado sisi wapenda amani tutawamaliza vibaya.
Tunawajua Wachagga wanapoishi ni Kimara Temboni na Kimara Bonyokwa tunaanza na huko jaribuni muone
Piece of Sh......t. Samahani si kawaida yangu lakini watu wengine wana nazi vichwani badala ya box lililojaa ubongo.

This is the most codswallop remark to land JF. Its vacuousness raises suspicions on your discernment capacity. You have put forward an irrelevant debate by comparing scenarios between Libya, where democracy was a precious commodity, and Tanzania which is renowned for its copious freedom of expression and widespread democracy.
Tuanzie Tarime. Au mtatugesha mtani?

CDM-Kata wanajidanganya sana uwezi kufananisha mgogoro wa Libya na Tanzania hata kidogo.
Huko kote mnaposikia wananchi wanapambana kuziangusha serikali zao kama vile Syria, Misri, Tunisia, Yemeni, Libya, Hakuna hata nchi mmoja nilizozitaja hapa mapambano yake yanaongozwa na chama cha siasa.
Tanzania hamna chama cha siasa kinachoweza kuwaunganisha Watanzania wote kuwa kitu kimoja kuweza kuleta ushawishi.
CDM hakina sifa ya kitaifa ni chama ukabila na udini, kina uwezo wa kuwaunganisha Wachagga wote Tanzania nzima kwa ilo hamna ubishi, Wananchi wenyewe bila msaada wa chama chochote cha siasa ndio wanaweza kuiondoa serikali madarakani tunaona sehemu nyingi tu duniani. Hatuwezi kuwa mateka wa Wachagga na CDM

Arusha ndio inafaa kuwa HQ yenu, si ndio HQ ya wavuta bangi TZ.
Arusha HQ ya wavuta bangi unasahau kuwa kuna mikoa bangi ni mboga hivyo usijari na ktofautiana matumizi...na kama ni hivyo basi Znz na Dar ni wapi HQ ya wavuta unga

dunia inaposhuhudia anguko la muammar qadaffi, kwa sababu tu wananchi wa nchi yake wamechoka kuona mtu mmoja na familia yake ndiyo watu sahihi wanaopashwa kuitawala Libya.

Ni wasaa sasa kama Waafrika, kama Watanzania kutizama upya aina ya udikteta na unduli tulio nao kama Waafrika. Qaddafi amefanya mengi mazuri kwa Libya: barabara, maji, umeme, elimu, kujenga misikiti na kila aina ya maisha bora kwa ajili ya wananchi wa libya.

la muhimu kutambua hapa ni kwamba bwana qaddafi amefanya haya si kwa kutoa pesa zake mfukoni: ametumia rasilimali za libya katika kufanikisha haya, jambo ambalo mlibya yeyote mwenye mapenzi mema na uzalendo kwa nchi yake. tatizo ni kuwa bwana huyu alikuwa akiamini kuwa bila yeye libya itayumba, kama magamba wanavyojiaminisha hapa kwetu.

kwa hapa Tanzania tuko chini ya udikteta. Tofauti na libya, udikteta wa hapa unafanywa na genge la watu wanaojiita chama cha mapinduzi. hawa hawajafanya lolote kwa nchi ikilinganishwa na dikteta-mtu qaddafi. miaka hamsini hatuna umeme, hatuna barabara za maana, hatuna huduma bora za afya na elimu yetu ni bora elimu.

ccm ni dikteta kama qaddafi au hosni mubarack.

kuna haja ya kuing'oa ccm kwa njia yoyote ile ili kama taifa tuanze upya.

tupeane mawazo tufanyeje.

wenzetu walianzia Bengazi.

Sisi tuanzie wapi?

Arusha ndiyo sehemu pekee ya change.

Back
Top Bottom