wenzenu China wanajivua magamba, nyinyi CCM mwasubiri nini??

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
BBC SwahiliChama tawala cha kikomunistinchini China kitafaya mkutanowake mkuu wa baada ya miaka mitano kuanzia tarehe nane mwezi Novemba kufanyamageuzi makubwa serikalini ambayo yatawezesha kuwachagua viongozi watakaoongoza nchi hiyo kwa miaka kumi ijayoKongamano la chama linafanyika kumchagua rais wakwanza atakayehudumu kwa miongo miwili. Viongozi wa sasa watang’atuka mamlakani akiwemo rais wa nchi hiyo pamoja waziri mkuu na kustafisha viongozi walio zidisha miaka 68. mia
 
Msemaji hajui siasa za china, na anayetajwa kuchukua urais ni mojawapo wa kiongozi wa sasa katika wadhifa mkubwa tu.... Sidhani kama ni kujivua magamba bali ni kubadili nguo tuu na kulipaka rangigamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom