wenzangu m'meiona hii toka itv??nimestushwa sana!!

Kiukweli inatia huruma. Jamaa ana majukumu mengi na afya yake ndo hivyo. Sauti imempotea, nuru imemtoweka, uchangamfu umepotea. Mbele kuna kazi
 
Nadahani mambo mengi yanakwenda kombo ccm. Jana mwananchi imeadndika beatrice shelukido kafunfuliwa mashitaka mahakama kuu kanda ya tanga na mwana ccm kikoti. Anamtuhumu beatrice na viongozi wengine wa ccm kwa kuchakachua matokoe ya kura za maoni. Naamini haya na mambo mengine yanampa pressure mwenyekiti jk.
 
Slaa is just warming up! Mpaka sasa mmeona rasharasha tu, mvua zenyewe bado!

Bado Slaa hajalivalia njuga swala la UFISADI kwenye kampeni zake. Tabia ya JK ya kuzingatia ANASA wakati wananchi wanahaha kwenye lindo la umasikini Slaa kaitaja tu kwa mbali pale Arusha, bado atalikolezea vizuri. MAMBO BADO KABISA!
 
Mhhh wewe.........Hebu tuondolee uchuro hapa ebo!!!!!!!!!!..........Ushakuwa Sheikh Yahya mara hii

Sipendi sana kuchangia 'sredi' za aina hii(za kampeni/uchaguzi0 lakini kauli zako hizi nzio zimenifanya nichangie aisee....

-Kikwete anatumia haki yake ya kikatiba kugombea uprezidaa bana,hayo mambo ya afya yake anayajua mwenyewe ndo maana akajitosa na kuendelea na kampeni za uchaguzi....Kwa nini unamuita ni mjinga na ana kburi..............kuwa na adabu bana,eti anapingana na afya yake!!!!!,suala la afya yake limeshaongelewa hapa na hata ugonjwa unaomsumbua(kwa mujibu wa madaktari wake na CCM) ni sukari kushuka unaweza ukampata yeyote na wakai wowote(hata wagombea wengine) subiri kampeni ziishe uchaguzi ufanyike ndo uanze kuyaongea haya.............KIKWETE yupo kwenye kampeni na anatumia muda mwingi sana katika safari na kuhutubia mikutano ya hadhara so si ajabu kumuona kabadilika wajihi..........Ni hali ya kawaida kaika kampeni

-Suala la kushinda ama kutoshinda kwa mgombea yeyote tuwaachie wananchi hiyo tarehe 3 Oktoba(ni sawa na mpira wa miguu,mshindi wa taji hupatikana baada ya dk 90,au 120 au kwa penati,zamani hata kwa shilingi)....Hapo ndo tutajua mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.............Ni kigezo kipi kimekufanya uamini kwamba KIKWETE hatashinda ei 'baada ya kutanguliza familia yake na ubinafsi'!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

-Mama Salma,Ridhwani ama mtu yeyote kutoka familia ya KIKWETE anao uhuru wa kumkampenia KIKWETE(kwa taratibu walizojiwekea wao CCM)...............Ni sawa na Bill Clinton na bintiye cHELSEA WALIVOKUWA WAKIZUNGUKA us nzima kumkampenia Hilary wakati akitaka ridhaa ya wana Democrats kumteua awe mgombea urais wa US...CCM tayari wameeleza kwamba hizi ni gharama zao kama chama na si hao tu kuna makada na ndugu kibao wamezunguka Tanzania nzima.....Huu ni mkakati wa ushindi wa CCM ambao ungeweza kubuniwa na kutumiwa na chama kingnie chochote kile......Ndo maana utaona vyama vya CUF na CCM wagombea urais na running mates wao hawazunguki pamoja,wanaenda sehemu tofauti kwa lengo la kuwafikia waTanzania wengi zaidi na kupata kura nyingi....

-Nani kakwambia atafia kwenye kampeni aiseee...KIKWETE bado ana sifa ya kikatiba ya kugombea kipindi kimoja zaidi,hayo mengine ya utendaji kazi tuwaachie waTanzania waamue kupitia uchaguzi.......Mengine tumuchie Sheikh Yahya & Co......................................................Kwa heri ya kuonana

Kama hupendi, hiki ulichofanya ni nini? Nafikiri utabiri hauna basis/ back up lakini huyu ametupa basis!
 
Mhhh wewe.........

Suala la kushinda ama kutoshinda kwa mgombea yeyote tuwaachie wananchi hiyo tarehe 3 Oktoba(ni sawa na mpira wa miguu,mshindi wa taji hupatikana baada ya dk 90,au 120 au kwa penati,zamani hata kwa shilingi)....Hapo ndo tutajua mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.............Ni kigezo kipi kimekufanya uamini kwamba KIKWETE hatashinda ei 'baada ya kutanguliza familia yake na ubinafsi'!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

-Mama Salma,Ridhwani ama mtu yeyote kutoka familia ya KIKWETE anao uhuru wa kumkampenia KIKWETE(kwa taratibu walizojiwekea wao CCM)...............Ni sawa na Bill Clinton na bintiye cHELSEA WALIVOKUWA WAKIZUNGUKA us nzima kumkampenia Hilary wakati akitaka ridhaa ya wana Democrats kumteua awe mgombea urais wa US...CCM tayari wameeleza kwamba hizi ni gharama zao kama chama na si hao tu kuna makada na ndugu kibao wamezunguka Tanzania nzima.....Huu ni mkakati wa ushindi wa CCM ambao ungeweza kubuniwa na kutumiwa na chama kingnie chochote kile......Ndo maana utaona vyama vya CUF na CCM wagombea urais na running mates wao hawazunguki pamoja,wanaenda sehemu tofauti kwa lengo la kuwafikia waTanzania wengi zaidi na kupata kura nyingi....
Mweledi Balantanda. Umesema hapo ktk bold kuwa Bill na Chelsea walimkampeinia Hilary kuomba ridhaa ya kupitishwa kugombea. Huwa inaishia hapo. Likifika suala la uraisi wa nchi ni CHAMA kuhusika kwa mtiririko muktadha. Huwezi kuniambia kwamba RIZ1 na SALMA ni vinara wa kumnadi mgombea wa CCM. ina maana chama hakina mechanism yeyote zaidi ya hao wawili? Kama si maslahi kwa famili ni nini basi? inaonesha mgombea na familia yake hawakiamini chama kwamba kinaweza kusimama naye mpaka ashinde? Kuna methali inasema whats goes around comes around just as to say mwenda tezi na OMO marejeo NGAMANI.

Wanachikifanya akina kikwete family ni ufuska wa kisiasa yaani wanabaka mchakato rasmi wa kampeni kwa kutumia funds za umma kujiimarisha madarakani. Najua wanatamani katiba ingekuwa upande wao lakini SISI wananchi tunasema Tanzania ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila wao. Nimependa responce yako ya kumshambulia mtoa hoja kuwa kwa nini aseme KIKWETE hatashinda. Sidhani kama ungesema hivyo kwa slaa ama lipumba.

Ila rais wangu yupo kwenye hali mbaya. anapaswa kumsikiliza daktari wake sasa kuliko kipindi kingine chochote.
 
Alafu naona uchaguzi huu ulimi umemtoka tofauti na ule wa 2005. yaani sasa hivi anaonekana kampeni zimemchosha zaidi.
 
Tumwombee raisi wetu amalizie kipindi hiki kifupi kilichobakia kabla ya 31.10.2010
 
Balantanda, kila mtu ana haki ya kugombea lakini katiba hiyo hiyo inataja sifa za mgombea kwa hiyo inaweza kutoa kwa mkono huu na kunyima kwa mkono mwingine. Mfano asiyejua kusoma na kuandika kanyimwa haki hiyo, naweza kusema katiba haimpi haki mtu yeyoye kugombea akiwepo kichaa labda katiba ituambie kichaa siyo mtu.

Kwani katiba inasemaje juu ya rais mgonjwa hadi rais azimie ashindwe kuamuka ndipo tujue afya siyo nzuri, kama rais anashindwa kuhutubia wananchi wake na kuanguka anguka ovyo ovyo tena hadharani huoni hilo ni tatizo. Halafu elewa katiba haisemi lazima amalize vipindi viwili hata kama ni mgonjwa. Hebu mwangalie tena mtu unayemtetea kama afya yake bado inaruhusu kuongoza nchi yenye watu zaidi ya mil.40,

Nilikuwa ninaona picha za magazeti tu. Sikuwahi kuona video yake.

Kweli siipinde CCM. Lakini jamaa anaumwa.

Aache kugombea.

Akapumzike
 
Last edited by a moderator:
Tupo wengi tunaoumiza kichwa namna ya kupunguza uzito lakini tunashindwa kutokana na gharama kubwa. Kunenepeana siyo afya ni ugonjwa, Mheshimiwa sasa ndio yuko in standard health, akiongezeka zaidi huo ni ugonjwa siyo afya na madhara yake ni makubwa kuliko alivyo sasa
 
mhhh wewe.........hebu tuondolee uchuro hapa ebo!!!!!!!!!!..........ushakuwa sheikh yahya mara hii

sipendi sana kuchangia 'sredi' za aina hii(za kampeni/uchaguzi0 lakini kauli zako hizi nzio zimenifanya nichangie aisee....

-kikwete anatumia haki yake ya kikatiba kugombea uprezidaa bana,hayo mambo ya afya yake anayajua mwenyewe ndo maana akajitosa na kuendelea na kampeni za uchaguzi....kwa nini unamuita ni mjinga na ana kburi..............kuwa na adabu bana,eti anapingana na afya yake!!!!!,suala la afya yake limeshaongelewa hapa na hata ugonjwa unaomsumbua(kwa mujibu wa madaktari wake na ccm) ni sukari kushuka unaweza ukampata yeyote na wakai wowote(hata wagombea wengine) subiri kampeni ziishe uchaguzi ufanyike ndo uanze kuyaongea haya.............kikwete yupo kwenye kampeni na anatumia muda mwingi sana katika safari na kuhutubia mikutano ya hadhara so si ajabu kumuona kabadilika wajihi..........ni hali ya kawaida kaika kampeni

-suala la kushinda ama kutoshinda kwa mgombea yeyote tuwaachie wananchi hiyo tarehe 3 oktoba(ni sawa na mpira wa miguu,mshindi wa taji hupatikana baada ya dk 90,au 120 au kwa penati,zamani hata kwa shilingi)....hapo ndo tutajua mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.............ni kigezo kipi kimekufanya uamini kwamba kikwete hatashinda ei 'baada ya kutanguliza familia yake na ubinafsi'!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

-mama salma,ridhwani ama mtu yeyote kutoka familia ya kikwete anao uhuru wa kumkampenia kikwete(kwa taratibu walizojiwekea wao ccm)...............ni sawa na bill clinton na bintiye chelsea walivokuwa wakizunguka us nzima kumkampenia hilary wakati akitaka ridhaa ya wana democrats kumteua awe mgombea urais wa us...ccm tayari wameeleza kwamba hizi ni gharama zao kama chama na si hao tu kuna makada na ndugu kibao wamezunguka tanzania nzima.....huu ni mkakati wa ushindi wa ccm ambao ungeweza kubuniwa na kutumiwa na chama kingnie chochote kile......ndo maana utaona vyama vya cuf na ccm wagombea urais na running mates wao hawazunguki pamoja,wanaenda sehemu tofauti kwa lengo la kuwafikia watanzania wengi zaidi na kupata kura nyingi....

-nani kakwambia atafia kwenye kampeni aiseee...kikwete bado ana sifa ya kikatiba ya kugombea kipindi kimoja zaidi,hayo mengine ya utendaji kazi tuwaachie watanzania waamue kupitia uchaguzi.......mengine tumuchie sheikh yahya & co......................................................kwa heri ya kuonana

mkubwa barantanda mi nakupa big up sana kwa maoni yako, nafikiri sizinga na dopas hawajawa na kauli nzuri kumhisi mtu aliyeedhoofika kwamba anakaribia kufa, na nadhani waache kuwa watabiri na waache kufanya kazi ya mwenyezi mungu, nafikiri wamefikia ushabiki mbaya sana na mm sijaipenda sana hii. Kikwete ana haki ya kugombea na sidhani kama kwa shughuli za kampeni hata kama uko fiti namna gani lazima utachoka. Hii nchi ina hali za hewa tofauti na katika kila hali ya hewa ina athari katika mwili wa binadamu. Mfano mdogo hata mtu ukisafiri safari yako binafsi kutoka let say dar to bukoba unapofika utaonekana wazi umechoka na unaweza ukapata maradhi kutokana na hali mbali mbali za hewa unazokutana nazo on the way, sishangai kumuona mr presidar akidhoofika kwa hilo kwanza angenenepa ningeshangaa.
 
Mimi nakuunga mkono hebu angalia picha yeke ya jana wakati wa mazishi ya mtoto wa Msekwa kapoteza uzito huu mwili si wake.

8E9U5568.jpg

Tazama sura za Pius na Anna utafikiri wana majonzi ya kweli.
Mbona Msekwa hakuhudhuria mazishi ya mtoto wake mwingine Ayoub?
Dhambi mliyoikaribisha itawamaliza.
Hata hivyo marehemu wote RIP
 
Habari za CHADEMA kutangulia mbele kidogo kwa kura za maoni hazingempa JK uchovu mkubwa. Kama kachoka mnavyosema, basi naamini walipompa briefing Usalama Wa Taifa walimwambia kipindi hiki "hawataweza kunyosha mambo".

Kuna watu wengi wanaoipenda nchi huko UWT. Wako wakubwa wachache wa ngazi za juu ambao hula na mafisadi wa CCM, lakini hawawezi wenyewe "kunyosha uchaguzi" na kumhakikishia JK ushindi.

Mkuu nimeipenda sana hiyo phrase hapo juu unaweza kutuma maelezo zaidi?
 
Mhhh wewe.........Hebu tuondolee uchuro hapa ebo!!!!!!!!!!..........Ushakuwa Sheikh Yahya mara hii

Sipendi sana kuchangia 'sredi' za aina hii(za kampeni/uchaguzi0 lakini kauli zako hizi nzio zimenifanya nichangie aisee....

-Kikwete anatumia haki yake ya kikatiba kugombea uprezidaa bana,hayo mambo ya afya yake anayajua mwenyewe ndo maana akajitosa na kuendelea na kampeni za uchaguzi....Kwa nini unamuita ni mjinga na ana kburi..............kuwa na adabu bana,eti anapingana na afya yake!!!!!,suala la afya yake limeshaongelewa hapa na hata ugonjwa unaomsumbua(kwa mujibu wa madaktari wake na CCM) ni sukari kushuka unaweza ukampata yeyote na wakai wowote(hata wagombea wengine) subiri kampeni ziishe uchaguzi ufanyike ndo uanze kuyaongea haya.............KIKWETE yupo kwenye kampeni na anatumia muda mwingi sana katika safari na kuhutubia mikutano ya hadhara so si ajabu kumuona kabadilika wajihi..........Ni hali ya kawaida kaika kampeni

-Suala la kushinda ama kutoshinda kwa mgombea yeyote tuwaachie wananchi hiyo tarehe 3 Oktoba(ni sawa na mpira wa miguu,mshindi wa taji hupatikana baada ya dk 90,au 120 au kwa penati,zamani hata kwa shilingi)....Hapo ndo tutajua mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.............Ni kigezo kipi kimekufanya uamini kwamba KIKWETE hatashinda ei 'baada ya kutanguliza familia yake na ubinafsi'!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

-Mama Salma,Ridhwani ama mtu yeyote kutoka familia ya KIKWETE anao uhuru wa kumkampenia KIKWETE(kwa taratibu walizojiwekea wao CCM)...............Ni sawa na Bill Clinton na bintiye cHELSEA WALIVOKUWA WAKIZUNGUKA us nzima kumkampenia Hilary wakati akitaka ridhaa ya wana Democrats kumteua awe mgombea urais wa US...CCM tayari wameeleza kwamba hizi ni gharama zao kama chama na si hao tu kuna makada na ndugu kibao wamezunguka Tanzania nzima.....Huu ni mkakati wa ushindi wa CCM ambao ungeweza kubuniwa na kutumiwa na chama kingnie chochote kile......Ndo maana utaona vyama vya CUF na CCM wagombea urais na running mates wao hawazunguki pamoja,wanaenda sehemu tofauti kwa lengo la kuwafikia waTanzania wengi zaidi na kupata kura nyingi....

-Nani kakwambia atafia kwenye kampeni aiseee...KIKWETE bado ana sifa ya kikatiba ya kugombea kipindi kimoja zaidi,hayo mengine ya utendaji kazi tuwaachie waTanzania waamue kupitia uchaguzi.......Mengine tumuchie Sheikh Yahya & Co......................................................Kwa heri ya kuonana

Chelsie hakuwahi ku campaign kwa Hillary hata siku moja, japo alikuwa anaongozana naye. Bill Clinton alikuwa ana campaign kama raisi msataafu akiwa kwenye chama cha Democrats.
 
Back
Top Bottom