Wenzake Hamad Rashid wahutubiaji wakuu mkutano wa CUF Morogoro mjini leo.

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
380
573
Tafadhari mlioko Morogoro mjini mtujuze kitakachojiri mkutano wa CUF leo, kwani habari zimethibitisha kuwa waliokuwa kwenye kambi ya Hamad Rashid watakuwa wahutubiaji wakuu kwenye mkutano wa hadhara leo jioni hii.

Mkutano huu unadaiwa kuandaliwa na CCM B ( CUF Maalim Seif) na utakuwa ni kuwaeleza wanachama wao ili CCM C (CUF Hamad Rashid) isipate watu wa kuwaunga mkono. Watakao hutubia mkutano huo ni Mh. Mbalala Maharagande na Wandwi.

Maharagande alitoshwa kuwania Ubunge Moro mjini 2010 na kuvuliwa ukurugenzi aliokuwa nao kwenye Chama hicho.

Baadhi ya viongozi wa CUF wamedai kutoutambua mkutano huo.
 
Jamani Sultani tuliemfukuza hakubali kweli, huu usanii wa vibaraka vyake kina Hamadi na Sefu mpaka Moro? juzi tu kibandamaiti mjini magharib wameitukana Tanganyika. wafukuzeni kwa mawe wakadanyani Pemba wanakomzunguusha mwarabu kupandikiza mbegu nyeupe kwa wake zao. samani wakubwa lakini ni kweli
 
Sasa hao wanahutubia kama wanachama wa chama gani si wamefukuzwa cuf hao
 
wajumbe wa baraza kuu la uongozi Taifa Mhe mustafa wandwi na Maharagande tulifanya kikao cha ndani katika hotel ya savoy na kuhudhuliwa na viongozi na wananchama 92 maudhui HALI YA KISIASA NCHINI na Jumapili tumefanya mkutano wa hadhara kujenga hoja za kwa nini wananchi waiamini CUF na viongozi wake. kushindwa kwa CCM kuongoza nchi na ubabaishaji wa CHDM katika kuwapotosha wananchi. mkutano ulikuwa mzuri na hakuna viongozi waliogawanyika morogoro kwa kusema kutoutambua mkutano huo.

Maharagande si wa kwanza kuwa mkurugenzi wa CUF. kuondolewa katika nafasi ya uongozi mahala popote pale ni jambo la kawaida. ubunge Morogoro sikugombea kwa matashi yangu binafsi. na ni haki yangu ya kidemokrasia kufanya hivyo.

haki sawa kwa wote
 
Back
Top Bottom