Wenyeviti na watendaji wa mitaa ni majiputi na hawana msaada kwa serikali

Crocozilla

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
469
335
Hawa wenyeviti na watendaji hasa wa mitaa ni majipu na hawana msaada wowote kwa serikali na wanachangia migogoro mingi ndani ya jamii. Viongozi hawa ndo wa kwanza kuona raia wanajenga bila kufuata utaratibu mtaani kwao, kuziba na kuzifuta kabisa barabara, kutupa uchafu hovyo, wanaona mitaa ikiwa michafu na nani hashiriki usafi nk nk nk.
Mfano nenda Boko Basihaya mitaa imefutika na barabara zimefutwa nyingi na zilizobaki chache zimekuwa vichochoro hawa viongozi wapo. Sasa kuna sababu gani ya kuwa na watu kama hawa? Maana waziri Lukuvi, Mpina na wengine hawawezi fika kila kona. Nenda Kwa mtogore, manzese na kwingineko ni uchafu kila kona. Kwa kweli hawa viongozi ni majipu!
 
Back
Top Bottom