elia mgina
Member
- Dec 29, 2011
- 27
- 2
Salaam mpendwa natumaie upo mzima wa afya. NAOMBA kwa yeyote anae weza kunipa contacts za elimu utawala (afisa elimu) rungwe-wilayani/tukuyu. au kama una uelewa kamili wa rungwe kiujumla naomba unisaidie namba yako pia nikutafte private zaidi.
please your help is highly valued.... THANKS
please your help is highly valued.... THANKS