Wenyeji wa Arusha mi mgeni wenu leo.

Wakuu habari zenu? Niko njian toka Dar kuelekea Arusha. Naomba mnielekeze viwanja vya kujipumzisha. Natanguliza shukrani.

Ohoooo!!! Unakuja Arusha mkuu. karibu sana bwana. Kama ni mahali pa kupumzika tu, hapa umepata mkuu. Nitakupeleka kwenye hoteli yangu mpya kabisa jijini Arusha iitwayo Palace Hotel. Ukifike nijulishe ili nimtume mrembo aje akuchukue.
 
Wakuu nimefika salama na nimepata mahala pa kupumzika kwa hiyo nawashukuruni sana membaz wote mlionipa maelekezo ila ninaambiwa na mtu kua maeneo ya mlina hayafai kwa matumizi ya binadam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom