wenyeji nipeni maana ya KU PM

bank

Senior Member
Jan 9, 2011
158
24
Jamani wenyeji mimi ni mgeni wa muda kidogo nombeni maana ya pm katika hii forum maana naona tu ukihitaji uni pm
Asanteni
 
P = Private na M = Message - ni message unayomtumia muhusika mkusudiwa tu na ni yeye tu ndie atakaeiona
 
Jamani wenyeji mimi ni mgeni wa muda kidogo nombeni maana ya pm katika hii forum maana naona tu ukihitaji uni pm
Asanteni

Angalia hapo juu, Gonga hapo pameandikwa Private Message.
To: Andika Asprin
Title: I love you!
Halafu mwaga maujumbe then gonga hapo kwenye "Send"
Ntaupata ujumbe wako then ntakujibi afu tutajua la kufanya.

Angalizo: Kama wewe ni mwanaume usinitumie PM. Inbox yangu haidisplay PM toka kwa wanaume:coffee:

Ni mimi wako mtiifu,
Big Braza ODM, a.k.a Asprin kwa hisani ya invizibo.
 
Jana kuna mtu nilimwambia anaitumie PM nione kama PM zangu zinafanya kazi nashangaa hadi sasa hajatuma
 
Angalia hapo juu, Gonga hapo pameandikwa Private Message.
To: Andika Asprin
Title: I love you!
Halafu mwaga maujumbe then gonga hapo kwenye "Send"
Ntaupata ujumbe wako then ntakujibi afu tutajua la kufanya.

Angalizo: Kama wewe ni mwanaume usinitumie PM. Inbox yangu haidisplay PM toka kwa wanaume:coffee:

Ni mimi wako mtiifu,
Big Braza ODM, a.k.a Asprin kwa hisani ya invizibo.

khe!makubwa haya!huyo ndo big braza odm anataka PM za ma she tu,,hahaha:clap2:afu wajukuu zake ni wanawake tu,,ntakureport abuse ya gender ujue..........
 
Angalia hapo juu, Gonga hapo pameandikwa Private Message.
To: Andika Asprin
Title: I love you!
Halafu mwaga maujumbe then gonga hapo kwenye "Send"
Ntaupata ujumbe wako then ntakujibi afu tutajua la kufanya.

Angalizo: Kama wewe ni mwanaume usinitumie PM. Inbox yangu haidisplay PM toka kwa wanaume:coffee:

Ni mimi wako mtiifu,
Big Braza ODM, a.k.a Asprin kwa hisani ya invizibo.
Bank, fanya kama alivyokuelekeza Asprin hapa na utaelewa!
 
Aspirini bwana anavituko sana:laugh:
Angalia hapo juu, Gonga hapo pameandikwa Private Message.
To: Andika Asprin
Title: I love you!
Halafu mwaga maujumbe then gonga hapo kwenye "Send"
Ntaupata ujumbe wako then ntakujibi afu tutajua la kufanya.

Angalizo: Kama wewe ni mwanaume usinitumie PM. Inbox yangu haidisplay PM toka kwa wanaume:coffee:

Ni mimi wako mtiifu,
Big Braza ODM, a.k.a Asprin kwa hisani ya invizibo.
 
Nashukuruni wote kwa maelezo yenu nimeelwa sasa.

Ila aspirin kuandika i love u sitaki
 
it is a useful chamber when you want to reach one of the members privately.what you correspond in pm remains private between you two
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom