wenyeji jografia ikoje huku

hali ya hewa ni nzuri hasa kwenye jukwa la mmu, kuna upepo unavuma kwa kasi kubwa jukwaa la siasa, jihadhari na propaganda za magamba, udini hauna nafasi kabisa ukiondoa wachochezi wachache, soma na kuelewa sheria na kanuni za jamvi letu, HUMU HAOGOPWI MTU!!!!!!!!!!! karibu mwaego
 
Karibu but kama na wewe gamba inabidi ujitoe 2 na urudi fcbk koz humu ni mahali pa makamanda wapiganaji ktk jamii yetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom