Wenye waume JF..TAHADHARI.

Let your speech be better than silence otherwise keep SILENT...mwanaume anaibiwaje na ndevu zake... !! Just thinking aloud
 
Weeh bakia na pensi nyanya yako hapo atatokea mtu na skin tite, kitopu na viatu vya Yesu! Usije ukaacha mdomo wazi, kuna nzi.
Muache baba wa watu apate appetite jf, si anarudi kula home? Mwenye ubavu wa ku-flirt na PAW namkaribisha, Lol!
yani nakwambia hapa nimevaa pensi nyanya,yoyote akijitojeza namuwashia moto..tena vianamke vingine ata mkononi avijai.
 
Weeh bakia na pensi nyanya yako hapo atatokea mtu na skin tite, kitopu na viatu vya Yesu! Usije ukaacha mdomo wazi, kuna nzi.
Muache baba wa watu apate appetite jf, si anarudi kula home? Mwenye ubavu wa ku-flirt na PAW namkaribisha, Lol!
Hehehe! Mwache mrs ma2mbo aseme yanayouchoma moyo wake, akimezea sana atapata kisukari... Labda mume ni baunsa kama PAW hawezi kudili nae hivyo ameona bora acheze na keyboard...

Shukuru mungu vile PAW ni my shemeji vinginevyo ningeflirt nae afu nione uje na viatu vya Yesu...
 
Unadhani nini sababu ya hiyo negative energy yao?

Only they know the truth. I can just conjecture. Kwa hiyo inawezekana labda kuna vi beef nje ya JF ambavyo vinaletwa humu JF. Au inawezekana labda hivyo vi beef vimeanzia humu humu JF na watu hawawezi kuambiana yaliyo mioyoni mwao kwa ID zao za siku zote na hivyo kuibuka na ID mbadala na kuanza kurusha vijembe vya hapa na pale. Again, this is all conjecture.
 
Hii industry ya ndoa imekuwa pasua kichwa.
Hapa nimeshaona business opportunity

Helmet za tindikali kwa wanaoibiana.
 
Back
Top Bottom