Wenye uwezo wa kuleta mabadiriko nchini ni wananchi

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
Hii ni kwa sababu kupitia haki ya msingi ya kupiga kura, tunaweza kuibadirisha nchi, na kuwa nchi yenye kujari utu wa na utaifa wa wananchi, ikiwa tu, tutaamua kubadirisha CD ya ile nyimbo ya kizamani ile ya nambari wani ni ccm,,,,,
Hivi ni mpumbavu gani apitaye mahali ambapo kila akipita huzomewa? au hupigwa? ama hurushiwa mawe? miaka 48 ya uhuru bado omba omba, ni kweli nchi masikini, lakini umasikini ni wa kipumbavu, nauita wa kipumbavu maana laiti ungekuwa ni wa kijinga ungekuwa ushasoma na kufuta ujinga, tatizo mtu ni kwamba kuna ambaye hupenda kuvaa nguo chini NYEUSI na juu KIJANI, ana tabia ya kutokea kila baada ya miaka 5 na maneno mazuri, watu humkaribisha ndani lakini kumbe ni firauni.
Hivi nani katuroga? Mpaka hatumstukii? anatuumiza harafu akija anakuwa rafiki yetu?
 
Back
Top Bottom