Wenye uhitaji wa mikopo ya haraka

tabora hatujafika mkuu ila ukihitaji unaweza tuma document husika then mkopo ukakufikia ,, ila tutafika karibuni. riba nilisema ni 4%
Hebu tuchanganulie hiyo 4% kwa mkopo wa laki 2 muda miezi mitat (3) usije tuambia ni 4 kumbe ni 4(0)?
 
kampuni yetu ya african capital, tunatoa mikopo ya haraka ndani ya saa24 , kwa wafanyakazi wa serikali na sekta rasmi .. hauhitaji kuweka dhamana ya mali au kuwa na wadhamini.

unachotakiwa ni kuwa na salary slip za miez mitatu ya karibuni, id ya uraia, id ya kazi na p/size pamoja na bank statement ya miezi mitatu ya karibuni.

wenye uhitaji wa mkopo wanipim .

karibuni
Mkuu naitaji kuwaona. Nitumie namba yako nikucheck
 
OK.mkopo ni muda gani mnao to a na hakuna mawasiliano yeyote na mwajili?
 
Hizi taasisi wandugu kama hunaulazima(kamabhaihusiani.na kuokoa uhai wa mtu nakushauri usikimbilie huku). Unaona swali la riba lilivopigwa chenga muda mrefu halafu limekuja.kujibiwa juu kwa juu. Anasema riba ni 4% ila hasemi ni muda gani. Hapo unaweza.kuta ni kwa wiki so mwezi ni 16 na mwaka ni 192%. Hapo ndipo unapokopa 1M halafu unarudisha kariu 3M.
 
Kwa majibu hayo labda upate wenye njaa kali, haiwezekani utoe majibu ya ujanja ujanja wakati hiyo ni taasisi ya kueleweka
 
kama hataki kugusia kuhusu riba basi asasi hiyo ni miongoni mwa vimeo vilivyoanzishwa kuwakamua walalahoi badala ya kuwasaidia! Anashindwaje kusema ni kama asilimia 15, 20, au 30?
 
Back
Top Bottom