Wenye simu za android

Goldzone

Senior Member
Aug 30, 2011
157
115
Kuna app iko kwenye market ya android inaitwa "LIVE TV" ni nzuri sana kwani unaangalia mechi za ligi za ulaya zote live kwenye simu yako. Mi nina Galaxy S2 leo nimeangalia game la Arsenal lote jana niliangalia game la Chelsea pamoja na Barca
 
Thanx mkuu! aisee wife anayo ngoja nimnyang'anye nimpe kimeo changu niwe najirusha na epl. Vp gharama mkuu kwa mechi moja inalamba kiasi gani cha vocha kwa hiyo huduma ya internet-zain, voda na tigo?
 
Tumia browser ya simu ndiyo rahisi. Halafu tumia 3g ya Airtel ndiyo inaspeed plus nunua bundle 400mb kwa 2500tsh.
 
mkuu ikependeza sana ungetupa drkt link. Au specify ni ipi kati ya izo alizo toa link kang. Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom