Wenye king'amuzi cha Star Times tunaomba list ya channels zilizomo

tototundu

Senior Member
Jul 29, 2009
198
40
Siku za karibuni nimekuwa nikipewa sifa za king'amuzi kuwa kuna channels bomba. Nimeanza kushawishika kununua, swali langu ni channels gani zinapatikana humo. Nimesikia TBC, Clouds TV, KBC zimo humo.
Je , ITV EATV zipo pia? Kuna channel za mpira?Zzipo za majirani zetu kama TVM? CNN?
Natanguliza shukrani

Yaani ilinilazimu kufunga dstv maana antenna niliipandisha juu sana kupata angalau channel ishirini sasa balaa linaanza mchana upepo ukitingisha antenna ndani full scratch channel zenyewe nazoziangaikia hazina kichwa wala miguu upuuzi mtupu nimelifungua liantenna na decoer yake vyote tupia darini.

Sh.9000 sishndw kununua,tatizo huwez kuona chanel yeyote ya maana,kwa sisi watu wa Epl inabd uende bar,kifupi package yao hovyo.

unajuta nini.? Hauna uwezo wa kulipia*

Siku za karibuni nimekuwa nikipewa sifa za king'amuzi kuwa kuna channels bomba. Nimeanza kushawishika kununua, swali langu ni channels gani zinapatikana humo. Nimesikia TBC, Clouds TV, KBC zimo humo.

Je , ITV EATV zipo pia? Kuna channel za mpira?Zzipo za majirani zetu kama TVM? CNN?

Natanguliza shukrani

StarTimes kuna:TBC,TBC2,STVE1&2, STVC1&2,Channel 10, SIBUKA, Citizen, clouds TV, KBC1, E-Stars, CCTV-NEWS, BBC WORD, MSNBC, Al Jazeera, FRANCE 24E, MGM, BET, ANIMAUX, MLIMANI TV, MTV Base, Discovery WORLD nakadhalika, jumla ziko steshen 41
ni juu yako kufanya uamuzi, halafu unalipia sh 9000/= kwa mwezi baada ya mwezi wa kwanza wa kununua

Hawa Star Times wamekuja kikora kwelikweli, na walitupata sana mwaka jana walipotutishia kuwa hatuwezi kuona World Cup, tukaingia mkenge kwa foleni! Sasa tunajuta kwani channels zenyewe hazina mashiko kabisa...hakuna sports channel yoyote ya humu ndani ukiacha TBC1 na 2 pamoja na Channel10. zingine zote za maana hamna na sidhani kama wana mpango wa ku-connect na wengine karibuni. Tido ameondoka basi tusahau!
Hata hivyo wewe ni mtu mzima una maamuzi ya kufanya ukitaka kuingia kwao

Usijaribu kupoteza pesa yako ndugu utaishia kujuta,nakushauri kama vipi wacheki ting au kama mifuko imetuna kimtindo wacheki dstv inakidhi haja zote.

Ckushauri uinunue ukitaka ziunge unge uchukue kitu cha ukweli kama dstv mkuu huku hovyo kabisa na najuta vibaya

Yaani ilinilazimu kufunga dstv maana antenna niliipandisha juu sana kupata angalau channel ishirini sasa balaa linaanza mchana upepo ukitingisha antenna ndani full scratch channel zenyewe nazoziangaikia hazina kichwa wala miguu upuuzi mtupu nimelifungua liantenna na decoer yake vyote tupia darini.

kama vipi mkuu tugawane hasara namaanisha uniuzie kama upo interested nitafute kupitia 0715404808

Kwa channel za TZ itakubidi uwe na vingamuzi viwili
Yaani katika mambo ambayo nimeshaingia kichwakichwa ni hili suala la kununua king'amuzi cha startimes. hawa jamaa kosa lao la kwanza ni kukosa coverage ya channels zote za ndani kama it, startv nk. kwa hiyo inakubidi ukitaka kucheck startv au itv inabidi unyofoe decorder uunganishe upya...it is total embarasment!!!

Kubwa na ndogo........nimeipenda hii
Usijaribu kupoteza pesa yako ndugu utaishia kujuta,nakushauri kama vipi wacheki ting au kama mifuko imetuna kimtindo wacheki dstv inakidhi haja zote.

Hawa Star Times wamekuja kikora kwelikweli, na walitupata sana mwaka jana walipotutishia kuwa hatuwezi kuona World Cup, tukaingia mkenge kwa foleni! Sasa tunajuta kwani channels zenyewe hazina mashiko kabisa...hakuna sports channel yoyote ya humu ndani ukiacha TBC1 na 2 pamoja na Channel10. zingine zote za maana hamna na sidhani kama wana mpango wa ku-connect na wengine karibuni. Tido ameondoka basi tusahau!
Hata hivyo wewe ni mtu mzima una maamuzi ya kufanya ukitaka kuingia kwao

Tulikuwa tunachanga pesa ya kampeni ya Chama chetu tu baada ya hapo mtajiju wenyewe.

Jiunge na watu wa cable, hapo hamna kitu,,
startimes nia yao ni kuwafanya watanzania wawe wanaangalia TBC ambayo iko bias.

Utawekewe vita vya Rwanda na Burundi mpaka ukome.

Nendeni DStv, hayo ndo mambo ya azam cola kushindana na Coca Cola. DStv hawaiwezi wako fiti ndo maana hawatetereki

Back
Top Bottom