Wenye Fake ID Tuweke Wazi Majina Yetu.


teh,teh,teh....unashangaa nini wakati mzee wa DHAIFU kamuapisha kwa jina hilohilo hata mama SITAKI MWONGOZO,anamlipa posho kwa jina hilo,alafu mi namjua toka tunasoma wote kwenye ile shule ya msingi MAVUZINI alikua anatumia jina hilohilo
 
Najua kwa sasa Taifa linapita katika Kipindi Kigumu,hata wale Wadau makini wa Jf wako busy kujadili Maswala yanayo likumba Taifa kwa wakati huu.Hivyo basi sio vibaya kupoza Akili kwa kujadili hoja Nyepesi inayohusiana na hiyo Title hapo juu.Wadau wenye ID Fake tupo wengi sana hapa Jf.Pia nimegundua most of JF real GT ni wale wenye ID Fake,hawa jamaa baadhi yao wako makini sana.Unagundua umakini wao hasa pale unapo soma Michango yao mbalimbali hapa Jf.Kuna wakati natamani niwafahamu kwa Majina yao halisi.Naanza na mimi mwenyewe Kadoda11 kwa kutaja Majina yangu halisi Matatu.Naitwa Dhaifu Liwalo Naliwe.Haya wewe pia unaitwa nani?.Majina yako matatu Tafadhali.

Bajabir J Bajaj
 
MROMBOO TAKASHIMO TAMU....ukitaka la nne ntakuongezeaa!!
 
najua kwa sasa taifa linapita katika kipindi kigumu,hata wale wadau makini wa jf wako busy kujadili maswala yanayo likumba taifa kwa wakati huu.hivyo basi sio vibaya kupoza akili kwa kujadili hoja nyepesi inayohusiana na hiyo title hapo juu.wadau wenye id fake tupo wengi sana hapa jf.pia nimegundua most of jf real gt ni wale wenye id fake,hawa jamaa baadhi yao wako makini sana.unagundua umakini wao hasa pale unapo soma michango yao mbalimbali hapa jf.kuna wakati natamani niwafahamu kwa majina yao halisi.naanza na mimi mwenyewe kadoda11 kwa kutaja majina yangu halisi matatu.naitwa dhaifu liwalo naliwe.haya wewe pia unaitwa nani?.majina yako matatu tafadhali.
jeuri mwenzie kusudi.
 
Back
Top Bottom