Wenye Degree za B.com Sheria na Nyinginezo Kufundisha primary scul

FFU

Member
Aug 14, 2011
5
1
hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi

dah,mkuu unantisha sana sababu nimepangwa bcom,ni kweli hayo unayoyaongea mkuu?

hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi
Tatizo liko wapi? What's the big deal about B-Com or LLB?
Mbona kuna wenye PhD za fani nyingi tu na wanafundisha high school?

Tatizo tunadhani kazi inachagua mtu,The time will tell...wao si waangalie hata kwa wenzao leo hii wanavyomaliza visigino vya viatu vyao?sasa 5years to come hawa watauza chips mtaani

Kwani kufnundisha sio ajira. Jaribu kusoma kuhusu maendeleo ya Norway. Jinsi walivyoinvest kwenye elimu kwa kuweka wataalam wafundishe mashuleni. Hivyo basi wanafunzi wakawa wanafundishwa na watu wanaozielewa zile field. Just imagine ukifundishwa biology na daktari jinsi itakavyokuwa. Soma zaidi, unayo internet itumie.

Sa mbona umetolea mfano bcom na sheria 2,fani zngne kwan hazna wa2?

Aaaa,walimu tunapeta tuuuu,,,,,,namshukuru mungu sikupata shida saana kuanza mchakato wa kuichangia kodi serikali

Aaaa,walimu tunapeta tuuuu,,,,,,namshukuru mungu sikupata shida saana kuanza mchakato wa kuichangia kodi serikali

2tabanana huko huko kwenu 2,ngoja 2malize na vbcom vye2 kwanza.

hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi

sa si bora hata hao wa bcom m2 anasoma public administration,human resources,community dvt na political sciance cjui wao hata kama hzo dili za kufundsha watazpata.

Walimu tunapeta tu. Nimefundisha miaka miwili, sasa wamenichagua Bcom.... Nasoma bcom nikimaliza narudi kufundisha nikicheki michongo mingine. Wale fresh from skul kazi kwenu.

hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi

Tatizo kama hili liliikumba Nigeria miaka ya late 1980's ilianza kutoa output kubwa ya graduates kuliko uwezo wa kuajiri. Matokeo yake ni utapeli, unabii wa uongo, usanii wa kujiaibisha kama vile comedy, uuzaji na utumiaji wa MIHADARATI a.k.a NDUMU bin GANJA, n.k.

Ka ka we umekuwa mjanja we subiri uone

Cha muhimu inabd vijana waangalie vizuri kuhusu kuajiriwa au kujiajiri!ila bado soko la wahitimu wa vyuo bado Tz lipo sana tuu!ukiangalia kwenye halmashauri kuna watu wangapi hawana elimu ya kutosha?vijana msivunjke moyo nyie someni then mtajua huko huko itakuwaje!

Back
Top Bottom