wenye bahati kama mimi ni wachache

Wa pili mwaka 2004 tulifika kabisa kitandani tunataka kuanza, nikapigiwa simu ya msiba, tukaahirisha, baada ya msiba nikakumbushia, akaniambia ameathirika, she is now very sik, bed riden, namtembeleaga. verry sory of her.
Inabidi uache kujilipua namna hiyo,usipobadili tabia kuna siku utanasa
 
Sasa kama unaamini mungu sana si ukikanyage miwaya live tu halafu mungu atakusaidia?

Mbona mnamburuza mungu sehemu hayupo?

kiranga, wakati huo sikuwa na hofu ya Mungu sana, na kwa matendo yangu hayo machafu na jinsi nilivyonusurika, Mungu alikuwa ananipa onyo, nimemrudia, nimetulia,no more usinzi
 
Duh!! Hii kali. Ila usijisikie sana kaka. Cha kufanya wewe mshukuru Mungu kwa kukunusuru na umtolee sadaka na pia umuombe ili azidi kukunusuru na majanga kama hayo. Embu fikiria kama isingekuwa Mungu ungekuwa wapi sasa hivi?
 
Inabidi uache kujilipua namna hiyo,usipobadili tabia kuna siku utanasa

lady, kindly chek post za hapo juu, nimesema nilisha acha, hayo yalitokea long time ago, kabla sijaoa, si unajua tena when a young handsome man anapotaka ku hit a gal of his dreams? bahati mbaya nilikuwa nahit madem wazuri mno.
 
Wa pili mwaka 2004 tulifika kabisa kitandani tunataka kuanza, nikapigiwa simu ya msiba, tukaahirisha, baada ya msiba nikakumbushia, akaniambia ameathirika, she is now very sik, bed riden, namtembeleaga. verry sory of her.

ngoma inakuandama!! ht ukioa itakufuata ...... nakushauri ht ukioa kw mkeo usipige kavu.
 
Mkuu mshukuru MUNGU lkn badili mwenendo wako.Kimbia zinaa huo si ujanja wako bali aliyekuumba ana kusudi zuri nawe
 
Asante sana kwa ushuhuda!!!
Nahisi utawasaidia wengi kuweza kubadilika kama wewe ulivyoamua kubadilika.
 
Wana jf salaam. napenda kushare nanyi hii kitu ambayo ilinitokea personaly, ambapo nilinusurika kuambukizwa hiv mara 3 kwa vipindi 3 tofauti na warembo 3tofauti. this is the story, dem wa kwanza ni mwaka 2002,alikuwa ofic mate, yaani she was gorgious african woman, whom every man would wish 2 hav in bed. tukapanga ku do, tulipofika gesti, dem alikataa kabisa tongue kiss, nilifadhaika sana hadi jogoo akagoma kuwika, coz kwanza sikuwa na zana na nikaanza kuhisi kuna tatizo. tuliahirisha mechi, ila baadaye akanijulisha kuwa hakutaka tongue kis kwa sababu ameathirika na hangependa kuniweka kwenye risk! nilijikuta nasweat mwili mzima, nilimshukuru sana, we became best frndz hadi alipofariki may mwaka huu. hao wengine wa2 nitaendelea badaye, ila napenda nijue, kuna ambaye amewahi kukutana na jambo kama hili? si ni kwa neema tu tunapata kupona? hasa when a pretty lady is involved?

DUH! yaani ile ya 2002, akafariki,kwa ngoma, BADO HAIKUkuFUNDiSHA KITU,mpaka mara 2 zingine? Aiseee! anyway,Mungu anakupenda sana, usirudie tena, coz your God will have no choice than GRANTING YOU NGOMA ,ukirudia
 
Wana jf salaam. napenda kushare nanyi hii kitu ambayo ilinitokea personaly, ambapo nilinusurika kuambukizwa hiv mara 3 kwa vipindi 3 tofauti na warembo 3tofauti. this is the story, dem wa kwanza ni mwaka 2002,alikuwa ofic mate, yaani she was gorgious african woman, whom every man would wish 2 hav in bed. tukapanga ku do, tulipofika gesti, dem alikataa kabisa tongue kiss, nilifadhaika sana hadi jogoo akagoma kuwika, coz kwanza sikuwa na zana na nikaanza kuhisi kuna tatizo. tuliahirisha mechi, ila baadaye akanijulisha kuwa hakutaka tongue kis kwa sababu ameathirika na hangependa kuniweka kwenye risk! nilijikuta nasweat mwili mzima, nilimshukuru sana, we became best frndz hadi alipofariki may mwaka huu. hao wengine wa2 nitaendelea badaye, ila napenda nijue, kuna ambaye amewahi kukutana na jambo kama hili? si ni kwa neema tu tunapata kupona? hasa when a pretty lady is involved?

Hii kitu umeitunga na umeshindwa kuyaweka matukio yote matatu kwa wakati mmoja pole sana try next time
 
i think PapaMukulu or whatever you call yourself, you are an irresponsible dude so to speak. i think you must be those reckless guys who take life for granted. AIDS can be transmitted by anybody and we need to die in a responsible way if we can. so please dont be careless in your speaking.
 
Huna bahati yoyote!Ni MUNGU tu ana mpango na maisha yako!
Ni wajibu wako sasa kutimiza wajibu wako kwake!
 
Back
Top Bottom