Wenje: Serikali yetu inaendeshwa abnormal na abnormalities government

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Ahoji wakuu wa mikoa yote kwenda Dodoma kufanya nini wakati kuna tv? Kasema nchi hii wanakula nchi leo kesho tunakuwa ombaomba kwa nchi ambazo cabinet zao hazizidi wajumbe 25 sie tuna baraza la watu zaidi ya 50.

Kashangaa wizi wa Kishapu kuundiwa tume wakati CIG keshamaliza kazi?
 
Mkuu mbona umeandika headline laini. Andika hivi, 'Wenje awachana wakuu wa mikoa, ahoji pinda kujivunia safari za rais kuomba misaada'. Ha ha ha ha
 
Inagoma kaka nimeipenda
 
Hajaomba kufuta kauli...
 
Hongera mbunge wangu,unatuwakilisha vema,hakika kura yangu haikupotea bure.maneno uliyochomekea ingekua kwa kiswahili ungekua umepigwa mwongozo na lukuvi zamani.
 
Mkuu mbona umeandika headline laini. Andika hivi, 'Wenje awachana wakuu wa mikoa, ahoji pinda kujivunia safari za rais kuomba misaada'. Ha ha ha ha

Huo ni ukweli ni nchi ya starehe kuliko kujali matatizo ya wananchi, kiasi pesa watakazotumia kuwa dodoma tungenunua mawadati mangapi?
 
Hongera mbunge wangu,unatuwakilisha vema,hakika kura yangu haikupotea bure.maneno uliyochomekea ingekua kwa kiswahili ungekua umepigwa mwongozo na lukuvi zamani.

Lukuvi is reachable not!!!
Tookuntu you??
 
Ilani na sera za ccm ni kuifanya Tanzania iwe kama Ugiriki iilvyo leo kiuchumi, and surely they will achieve it if we don't intervene
 
Ama kweli la kuvunda halina ubani,mara ooh tunapunguza gharama za matumizi yasiyo ya lazima then ndo hayo ya kuwakusanya wakuu wa mikoa Dodoma. Magamba wamevurugwa kabisa.Heshima yako Kamanda Wenje kwa kuwachana ukweli.Naamini kwa code-mixing ulizotumia umemwacha porini yule mtukanaji wao Lusinde
 
Huo ni ukweli ni nchi ya starehe kuliko kujali matatizo ya wananchi, kiasi pesa watakazotumia kuwa dodoma tungenunua mawadati mangapi?

kweli kabisa.
Wakuu wa mikoa 25
Makatibu wa wakuu wa mikoa 25
Madereva wa Wakuu wa Mikoa 25
Makatibu Tawala 25
Madereva wa Makatibu Tawala 25
Fuel?
Depreciation of Motor vehicles?
Magamba hata hili hawalioni
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, peooooooooples poooooooweeeer
 
Kweli bunge la tanzania limekosa hadhi kabisa,hata haka kajamaa kameweza kuingia humo.
 
Hongera mbunge wangu,unatuwakilisha vema,hakika kura yangu haikupotea bure.maneno uliyochomekea ingekua kwa kiswahili ungekua umepigwa mwongozo na lukuvi zamani.

kwahiyo unamanisha lukuvi katoka kapa
 
Back
Top Bottom