Wenje na Highness wabunge CHADEMA MWANZA, msiidhalilishe CHADEMA

waheshimiwa Wabunge wa jiji la Mwanza hasa wanaotokana na CDM, chondechonde rudini majimboni mwenu mkashirikiane na wananchi wenu kutatua matatizo yao, hasa ya barabara za jiji katika majimbo yenu, msituangushe vijana tuko nyuma yenu sasa mkianza kuwa watoro hatuwaelewi...hakuna biashara inaanza na faida...ubunge ni dhamani vijana wenzangu!...chapeni kazi kwanza jiji lifedha za kutosha tu..simamieni mgawanyo sawa na kwa kipaumbale kwa matatizo ya jamii!....pia kumbuka wananchi wana solution wanachokosa ni mtu wa kuwaunganisha...igeni mfano wa Mh. Ndesamburo jimbo la Moshi mjini
 
waheshimiwa wabunge wa jiji la mwanza hasa wanaotokana na cdm, chondechonde rudini majimboni mwenu mkashirikiane na wananchi wenu kutatua matatizo yao, hasa ya barabara za jiji katika majimbo yenu, msituangushe vijana tuko nyuma yenu sasa mkianza kuwa watoro hatuwaelewi...hakuna biashara inaanza na faida...ubunge ni dhamani vijana wenzangu!...chapeni kazi kwanza jiji lifedha za kutosha tu..simamieni mgawanyo sawa na kwa kipaumbale kwa matatizo ya jamii!....pia kumbuka wananchi wana solution wanachokosa ni mtu wa kuwaunganisha...igeni mfano wa mh. Ndesamburo jimbo la moshi mjini

nakushukuru kwa kuungana kuwakumbusha wabunge wetu. Haya yote ni kwa kuwa tunawapenda na hatutaki kukishushia imani chama chetu miongoni mwa wanajamii
 
Mkuu nadhani hapa tatizo si kuhujumiwa. Tatizo hapa kwa mujibu wa mtoa mada ni ukimya wa wabunge. Kama wanahujumiwa si wawaambie wananchi kwamba kulikuwa na mpango huu lakini tumehujumiwa. Information is power. Kama wanakaa kimya bila kuwaambia watu hapo ndipo penye shida.

nakushukuru kunielewa Kimbunga. Inawezekana kweli serikali imefulia na miradi ya barabara imesimama. Lakini kutokuwasiliana na waajiri wako ni kosa kubwa. Ikumbukwe tu kwamaba, wananchi wanawakubali viongo wa kuwachagua wenyewwe kuliko wale walioletwa kuja kufanya kazi kwao.

K wa mawazo yangu ni vema kulinda heshima na Imani hiyo kwa kuwa karibu nao
 
walikuwa wabaya kuliko hawa, kwani hata kurudi majimboni walikuwa hawaji, wakija waneenda kutafuta malaya Mwanza Hotel hadi VILA

Wanakwamishwa na madiwani wa CCM fanyeni mchakato jiji zima la Mbeya liwe mikononi mwa upinzani ili wawaletee maendeleo
 
Wanakwamishwa na madiwani wa CCM fanyeni mchakato jiji zima la Mbeya liwe mikononi mwa upinzani ili wawaletee maendeleo

meno yako ukiyaunganisha na signature yako, itakuwa collabo ya nguvu
 
sasa mbunge wetu ameongelea ubovu wa rodi hizi? kama yuko kimya si tumkumbushe? tuache kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, hatujengi bali tunabomoa.

mbunge hajengi barabara, hiyo ni kazi ya serikali kupitia watendaji wake amabo madiwani ndio wahusika wakubwa!!
Wenje yeye peke yake hawezi sababu pesa inatoka serikalini, pesa ya hizo barabara ilishatengwa tokea mwaka 2009 lakini serikali imeikalia tu iinapanga jinsi ya kuichakachua, we unakumbuka barabara ya airport ilivyokuwa miaka ile ya 2000? pesa ilitolewa mapema serikali ikachakachua kwanza mpaka wafadhili benki ya Ulaya wakaamua kuja kusimamia zoezi la barabara wenyewe na kampuni iliyojenga ilitoka kwao huko huko..
so serikali ndio mizinguo
 
Jiji la MBEYA limechafuka,hii ni kutokana na mkuu wa mkoa,ABBAS KANDORO kuja na sera ya safisha jiji ambayo wakuu wa mkoa wote waliopita walishindwa kuitekeleza..

Tangu wiki mbili zilizopita alianzisha kampeni hiyo na badae akawahaidi kua atawaruhusu alhamisi lakin jana hakutekeleza ahadi yake hiyo hivo wafanyabiashara wale wakapanga kuanzisha fujo siku ya leo..

BARABARA ZOTE MBEYA MJINI ZMEFUNGWA,MADUKA YOTE NA BIASHARA ZOTE ZIMEFUNGWA,GARI MOJA IMECHOMWA MOTO,MGAMBOM MMOJA AMEUWAWA NA RAIA,POLISI WAWILI WALIOKUA KWENYE GARI WAKIPIGA MABOMU WATU WAMEUMIZWA VIBAYA NA MAWE..

BADO FUJO ZINAENDELEA,WANAUME WAPO MBELE WAMESHIKA MAWE HUKU WANAWAKE WAPO NYUMA WAMESHIKA NDOO ZA MAJI ZA KUNAWA WAKIPIGWA MABOMU YA MACHOZI..
Kwa hiyo mkuu unaona ni sahihi kila sehemu kuwa ni masoko? Bado dar. Serikali amechia kila sehemu inakuwa ni soko hadi sasa kuwaondoa inakuwa mtihani!! Isije serikali ikaondolewa kwa kuchelea kuwaondoa hawa wafanyabiashara katika sehemu zisizoruhusiwa na kuwapangia maeneo ya kufanyia biashara zao!!
 
unazijua kazi za wabunge? 1. ni kusimamia serikali, 2.kushauri serikali 3. kutunga sheria. khs barabara kuna barabara ambazo zipo chini ya halmashauri na zingine chini ya tanroad, bodi ya barabara ya mkoa. hapo inategemea hiyo barabara unayosema ipo chini ya kitengo gani? na je imetengewa ela katika bajeti ya mwaka huu? na kama imetengewa fedha je za manispaa, au tanroad. na kama manispaa ni diwani wa kata hiyo anatakiwa akaisemee hiyo road, na kama ya tanroad na rcc ni mbunge anatakiwa aisemee kwy vikao. na sio kama wewe unavyodhani.
 
Mie nadhani baadhi ya viongozi wakuu wa cdm kama dkt slaa huwa mnapita humu, sasa basi jitahidini kuwasihi hawa wawakilishi wa wananchi, walau kufanya mkutano mmoja kwa mwezi. Ili kujua kero na matatizo yao. Pia kutoa ufafanuzi juu ya ushughurikiaji wa kero zao. Hata kama hazikupatiwa ufumbuzi.
 
Kwanza nikupe ushauri wa bure, kwamba kabla ya kuandika kitu ufanye utafiti kwanza, vinginevyo ytaonekana hamnazo au unatumika vibaya kama sito kutumiwa.
Barabara ya kona ya Bwiru mpaka Nyasaka tayari tenda ishatangazwa na mzabuni keshaptikana, uthamini wa nyumba zilizoko barabarani ushafanyka na kazi itaanza wakati wowote kwa Mkopo wa Benk ya Dunia, hali ni hivyo hivyo kwa barabra ya Nyakato Buzuruga mpaka sabasaba Ilemela, Barabara ya Nyakato NUNDU NA Mecco nimepita asubuhi hii kuja kazini ia lami, sijui mwenzetu unazungumzia toka wapi. Jana Alhamis na leo Ijumaa kikao cha halmashauri ianendelea mojawapo wa agenda ni ujenzi wa barabara za jiji, si hizotu ziko nyingine nyingi.
Ndugu wewe unazungumzia MWANZA ipi Mwenzetu, au ni magamba in action
Pole next time usiwe unaota na kuja kusema hapa.
 
Mdogo wake masha huyu! hivi ule mpango wa vitambulisho vya raia aliondoka nao?
 
Ndg. zangu
Hoja hii ni kweli ina mambo fulani ya kinafiki;
Matatizo ya mwanza ni ya kurithiwa kutoka enzi za zamani. Jiji hili liliplaniwa vibaya, halina miundo mbinu ya barabara, waloplan jiji hili hawakutegea kama litakuwa na kasi ya ukuaji namna hii. (Inasemekana ni jiji linalokua kwa kasi ya ajabu Afrika Mashariki). Alofanya survey ya jiji hili la mwanza alipal jiji lijengwe Nyamhongolo - hapa lilipo jiji ilikuwa ni sehemu tu ya Bandari. Kutokana na viongozi wa serikali yetu kutothamini mawazo ya wataalam; wakaruhusu ujenzi holela maeneo ya rufiji, uhuru, mabatini, igogo,, bugando n.k.

Wazo langu! Baadhi ya barabara ulozitaja ni matatizo ya Mkurugenzi wa jiji na watendaji wake. Ikumbukwe kuwa Mkurugenzi wa jiji ni Chaguo la Rais wa Magamba - kwa hali hiyo matatizo yote uloyataja hawezi kuyakwepa ila sisi wana CHADEMA tunajitahidi kumulika mapungufu katika jamii ili pale ambapo wenye nchi watakereka watajua la kufanya. CHADEMA wameshika makali ya jiji lakini mpini umeshikiliwa na MAGAMBA ndo maana tukifurukuta tu wanakimbilia kuwataarifu walala nje (Polisi) wenye siraha za kutisha raia.
TUWAPE MOYO WABUNGE WETU VIJANA WAFANYE KAZI KAMA TUTAKAVYOWASHAURI.
 
Kwanza nikupe ushauri wa bure, kwamba kabla ya kuandika kitu ufanye utafiti kwanza, vinginevyo ytaonekana hamnazo au unatumika vibaya kama sito kutumiwa.
Barabara ya kona ya Bwiru mpaka Nyasaka tayari tenda ishatangazwa na mzabuni keshaptikana, uthamini wa nyumba zilizoko barabarani ushafanyka na kazi itaanza wakati wowote kwa Mkopo wa Benk ya Dunia, hali ni hivyo hivyo kwa barabra ya Nyakato Buzuruga mpaka sabasaba Ilemela, Barabara ya Nyakato NUNDU NA Mecco nimepita asubuhi hii kuja kazini ia lami, sijui mwenzetu unazungumzia toka wapi. Jana Alhamis na leo Ijumaa kikao cha halmashauri ianendelea mojawapo wa agenda ni ujenzi wa barabara za jiji, si hizotu ziko nyingine nyingi.
Ndugu wewe unazungumzia MWANZA ipi Mwenzetu, au ni magamba in action
Pole next time usiwe unaota na kuja kusema hapa.

Inaonekana huyu jamaa katumwa; mi kila siku napita nikitokea Golden Rocky Pub kuongena na marafiki baada ya kazi then yeye anatuchemsha tu! NYAMBAFUUUUUUUUUUUUU - K.E.N.GE WA NADOADOA MTOA MADA!
 
unazijua kazi za wabunge?

1. ni kusimamia serikali,
2.kushauri serikali
3. kutunga sheria.

khs barabara kuna barabara ambazo zipo chini ya halmashauri na zingine chini ya tanroad, bodi ya barabara ya mkoa. hapo inategemea hiyo barabara unayosema ipo chini ya kitengo gani? na je imetengewa ela katika bajeti ya mwaka huu? na kama imetengewa fedha je za manispaa, au tanroad. na kama manispaa ni diwani wa kata hiyo anatakiwa akaisemee hiyo road, na kama ya tanroad na rcc ni mbunge anatakiwa aisemee kwy vikao. na sio kama wewe unavyodhani.

Umesema vizuri sana.

maswali yangu.

1. Ameisimamia serikali?
2. Ameishauri serikali?

ukijibu haya ntakuheshimu na kukutambua unataka kujenga democrasia Tanzania na hasa kupitia CDM
 
umesema vizuri sana.

Maswali yangu.

1. Ameisimamia serikali?
2. Ameishauri serikali?

Ukijibu haya ntakuheshimu na kukutambua unataka kujenga democrasia tanzania na hasa kupitia cdm

hivi wewe huwa unasikiliza bunge au?
Kwanza; mchango wa wenje bungeni ni ushauri tosha katika serikali hii.
Pili: Hujui kuwa msimamo wake wenje ndo umerekebisha kero za ardhi jijini mwanza?
Tatu: Wamachinga mwanza walikuwa wakinyanyaswa kama mbwa leo hii hawasumbuliwi hadi pale machinga complex itakapojengwa
wayajua haya au?
 
Kwanza nikupe ushauri wa bure, kwamba kabla ya kuandika kitu ufanye utafiti kwanza, vinginevyo ytaonekana hamnazo au unatumika vibaya kama sito kutumiwa.
Barabara ya kona ya Bwiru mpaka Nyasaka tayari tenda ishatangazwa na mzabuni keshaptikana, uthamini wa nyumba zilizoko barabarani ushafanyka na kazi itaanza wakati wowote kwa Mkopo wa Benk ya Dunia, hali ni hivyo hivyo kwa barabra ya Nyakato Buzuruga mpaka sabasaba Ilemela, Barabara ya Nyakato NUNDU NA Mecco nimepita asubuhi hii kuja kazini ia lami, sijui mwenzetu unazungumzia toka wapi. Jana Alhamis na leo Ijumaa kikao cha halmashauri ianendelea mojawapo wa agenda ni ujenzi wa barabara za jiji, si hizotu ziko nyingine nyingi.
Ndugu wewe unazungumzia MWANZA ipi Mwenzetu, au ni magamba in action
Pole next time usiwe unaota na kuja kusema hapa.

Nakushukuru kwa kuja na taarifa ya Kona ya Bwiru-Nyasaka. kama ni kweli, big up. Tatizo ni9 kwamba, unadhani wananchi wanafahamu haya? Kwa sasa road hiyo haipitiki, ukisikiliza mawazo yao wanasema, hawa ndo CDM tuliowachagua. Wanaanza kulaumu, ni wajubu wa mbunge kuja kuwaeleza, lakini kujitenga kunamshushia hadhi yake. Uliza siye tuaokaa na vijana wa mtaani, tunaopanda daldala za pande hizo na tunaokaa kunywa kahawa na tangawizi vijiweni hasa pale Kilamahewa stand na mbele kidogo pale Zahanati kabla ya kufika Bigbite. story za maeneo haya ni siasa na hasa kupima uwezo wa kiutendaji wa viongozi wetu.

Ya nundu ninayoizungumzia, haipi daldala, huwa napita nikiwa misere yangu kwa mguu, kuna msela wangu pande zile. Ni pale kuanzia kanisa la RC kwenda juu waliko watu. Siku moja niliwahi kukaa vijiwe vya kule, walimlaum diwani wao kuwa kawatelekeza na sio mkazi wa eneo lile. Walisema, tangu CCM imetawala eneo lile, njia ile haijawahi hata kukwanguliwa. Waliwachagua CDM ili kuona tofauti yao na CCM, cha ajabu haukuna kinachoonekana kufanyika pale.
 
hivi wewe huwa unasikiliza bunge au?
Kwanza; mchango wa wenje bungeni ni ushauri tosha katika serikali hii.
Pili: Hujui kuwa msimamo wake wenje ndo umerekebisha kero za ardhi jijini mwanza?
Tatu: Wamachinga mwanza walikuwa wakinyanyaswa kama mbwa leo hii hawasumbuliwi hadi pale machinga complex itakapojengwa
wayajua haya au?

Nakubaliana na wewe, lakini na barabara mbovu lazima tuzungumzie. We unadhani machinga atatokaje maskani kwake iwapo gari zinaogopa kupia road ile? Ninacho washauri wabunge hawa, wasishushe Imani watu wa MWANZA waliyowapa. Siyo lazima sana kujenga kama uwezo hakuna, lakini ile kuonekana mitaani kwao, kuzungumza nao na kupanga mikakati ya pamoja watathaminiwa sana. Ndicho ninachokitaka kwa wabunge hawa hasa HIGHNESS ambaye yuko cul.

Wenje siyo tatizo sana kule kwake nyamagana
 
Back
Top Bottom