Wenje kuwahutubia wananchi wa nyamagana hapo kesho.

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Wadau hapa nje ya ofisi yangu kuna gari inapita inatangaza kuwepo kwa mkutano wa mbunge wa Nyamagana EZEKIEL WENJE ambapo atawahutubia wananchi wa jimbo la Nyamagana na wakazi wa jiji la Mwanza kwa ujumla, mkutano utakuwa katika viwanja vya SAHARA, Katikati ya jiji la mwanza..

Wakazi wa jiji la Mwanza mnakaribishwa wote.
 
Good move. Lakini lazima muwahabarishe yale ambaye mmeyatekeleza au mpango kazi wenu, maana huko mwanza nyie ndo Chama tawala.
 
Hapo anajipigania yeye kama yeye . kama angelikuwa anapigania chama angesubili irani ya chama ili tujue chama kitatufanyia nini kikiingia madarakani . yeye aliyo fanya atakayo fanya .
 
Mi mtu haisomi hata tarehe ya bandiko yanakurupuka tu.. jaman haya si ndo malofa afu wanatusingizia sisi
 
Back
Top Bottom