Wenje kunguruma Sahara-Mwanza leo

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Mbunge wa jimbo la Nyamagana mh Wenje(Chadema) atakuwa na mkutano mkubwa wa hadhala leo ktk uwanja wa Sahara ili kuzugumza na wapiga kura wake mambo mbali mbali yanayohusu jimbo la Nyamagana na taifa kwa ujumla.
CHANZO:Gari la matangazo la Chadema
 
Tupiamo mapicha mkuu asante kwa taarifa.
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
 
Mkuu wapi na saa Ngapi?
Mbunge wa jimbo la Nyamagana mh Wenje(Chadema) atakuwa na mkutano mkubwa wa hadhala leo ktk uwanja wa Sahara ili kuzugumza na wapiga kura wake mambo mbali mbali yanayohusu jimbo la Nyamagana na taifa kwa ujumla.
CHANZO:Gari la matangazo la Chadema
 
Kazi ni moja tu mpaka kieleweke!

M4c twanga kote kote Mashariki,Magharibi,Kusini na Kaskazini 2015 natamani iwe kesho!
 
asante kwa taarifa
nilitaka kwenda jimboni kwangu
(2015) so ngoja nisubiri mpaka kesho
nitavuka, kweli nilizaliwa vizur yani kufika jana mwanza nakutana na jambo zuri
hivi kweli M4C Twanga kote kote

sasa hivi nasogea pale haraka sana

V
SENGEREMA
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.

MASHA yeye uwa anafanya wapi?
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.

Leo tena nakutahadharisha,wenje sio wa kabila hilo......(na inaonekana una ukabila na udini sana wewe....)

Leo ni mara ya pili kukuonya uache uongo ndugu yangu,na sasa ndo naamini post zako nyingi humu huwa ni porojo tu...

Naendelea kuzifuatilia,na nataedelea kukuumbua taratibu ndugu yangu......

The Magnificient...!!!!
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
laana mliyonayo ya udini na ukabila ndio chanzo cha kudumaa sensa na hamjakoma tu
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, (mpona???!!!) ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.

...MPONA ndo nini?...
 
Aiseee babaangu moro mkutano,igunga mkutano huku nako mkutano hata sijui niende wapi kweli chadema ni kama mashine ya kusaga mahindi yani inasaga na kukuboa

ngoja nipate mbege huku nikingoja update kutoka kwa wasomi wenzangu jf
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.

Kote huko wamejaa wakurya kama wachaga Dar.
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.

Sahara ipo Kenya,pole chokoraa hapa JF u pekee.
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.

Mkuu Furahisha huko ni Ilemela mkuu afterall Sahara ipo katikati ya Mji ni rahisi kufikika kwa pande zote za Mwanza yani watu kama ni daladala watapanda Gari moja tu.
 
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
Hivi leo umekuaje Mkuu??

Wenje sio Mkurya ni "Mjaruo" wa Utegi!!

Jiandae kuhesabiwa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom