Wenje,Kiwia,Machemuli watikisa jiji la Mwanza.

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wakuu...Heshima kwenu.

Nipo viwanja vya Kabuhoro kata ya Kirumba jijini Mwanza.Wabunge wa CDM ...Kiwia-Ilemela,Wenje-Nyamagana na Machemuli-Ukerewe..Wamefunika ile mbaya...Ni kwenye kampeni za udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza...kufuatia kifo cha diwani MANOKO(CHADEMA)kilichotokea mwaka jana.
 
Jitahidi mkuu kuwa unatupia kapicha kamoja kamoja ili hata sisi tuliko huku Msoga kijijini tuburudike mioyoni.
 
Wakuu...Heshima kwenu.

Nipo viwanja vya Kabuhoro kata ya Kirumba jijini Mwanza.Wabunge wa CDM ...Kiwia-Ilemela,Wenje-Nyamagana na Machemuli-Ukerewe..Wamefunika ile mbaya...Ni kwenye kampeni za udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza...kufuatia kifo cha diwani MANOKO(CHADEMA)kilichotokea mwaka jana.

Mkuu asante kwa taarifa mujarabu.. lakini tupe hali halisi ikoje, watu , mwitikio umekaaje, tupia vipicha meen, vipi fanyeni tathimini hraka hapo watu wangu mjue je shaada bado wanazo maana huko Arumeru east Magamba wanapumulia kucha.,. wameamua kununua kadi za kupigia kura kwa tsh 100,000/= ili kuwa na watu wachache waliowapanga tayari
 
Shardcole umechanganywa na nini, ugonjwa wa akili sio wa Zito ila wewe, kwani na wewe ni mbunge wa CCM? manaake naona akili yako kama woooow!
 
Back
Top Bottom