Wenje katafuna pesa za madawati - Matata

Inapofika hapo ndipo ninapojua umakini wa viongozi wa juu wa chadema.kitendo cha kumuengua matata mapema ktk kinyang'anyiro cha umeya mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 mlitumia busara ya hali ya juu, jambo ambalo limemfanya aichukie cdm mpaka leo.kwa nini nasema kilikuwa ni kitendo cha busara kumuengua ktk kuwania umeya;kwanza,ni muda mfupi sana aliokua nao tangu aamie kutoka ccm baada ya kushindwa ktk kura za maoni ndani ya ccm.haikua rahisi kwa mtu ambaye hajakitumikia chama kupewa wadhifa mkubwa wa umeya.Hii inadhihilisha kuwa alikuwa na uchu wa madaraka.pili ni kuhusu mwenendo na tabia yake.kwa ujumla huyu mtu ana sifa mbaya na ya kutisha ktk mji huu wa mwanza.we fika mwanza taja jina matata utaambiwa historia yake utaziba kinywa kwa mshangao.mimi mwanzoni nilishtuka kusikia huyu bwana ni miongoni mwa madiwani ktk jiji.kwa hili uongozi wa cdm mwanza mlionesha udhaifu mkubwa sana kumpitisha huyu,mnatakiwa muachie ngazi.Tatu, matata na chagulani walianza mapema kampeni za umeya mara baada ya uchaguzi kabla hata majina yao kupendekezwa kugombea hali iliopelekea majina yao kuenguliwa matokeo yake wameamua kuendekeza chuki binafsi kwa makamanda wetu kama wanavyofanya wahanga wa uchaguzi wa BAVICHA.
 
Na Lema alikua ni nani? au na yeye mtatoa siri yake akitimuliwa. Inamaana mlikuwa mnajua matata ni tapeli na ni mhalifu lakini akapewa nafasi ya uongozi? Kuna matapelu wangapi wamebaki huko kwenu?

sio vhita muraah....hata Lema yumo kwa matapeli ya lio wahi kunyanyasa rai wa Mwanza,walishakuwa na grocery mitaa ya Kilimahewa kama sikosei tabia yao ilikuwa kuwaibia wateja ambao wanaonekana wana pesa kwa kuwatumia wa hudumu,sasa CHADEMA siwanasema wao wasafi wajitoe matongotongo haya kabla maana ukikutana na mtu ukisalimiana ataanzia kukuangalia usoni....
 
hawa chadema hamna lolote hata huyo diwani usikute na yeye yumo.najuta kura yangu kumpa wenje.

Wewe umefanya uchunguzi? au nyie ndo wale wa kuletewa ripoti kua nilimwona mkeo na jamaa fulani na unaaimi bila kufanya uchunguzi? sasa kama Wenje alikula pesa kweli na uyo matata alikua mzuri mbona hakusema mapema? akili yako na ya matata zote sawa
 
Basi wewe utakuwa ni mzimu kwakuwa kila mbunge wa Chadema unadai ulimpigia kura. Umekuwa unadai kumpigia kura Mnyika, mara uhamie kwa Mdee na sasa umehamia kwa Wenje.
Usiasahau alishasema anajuta kumpa kura LEMA, nadhani bado anadhani Mbunge ni kama Rais anapigiwa kura na kila Mtanzania, inabidi aelimishwe!
 
Basi wewe utakuwa ni mzimu kwakuwa kila mbunge wa Chadema unadai ulimpigia kura. Umekuwa unadai kumpigia kura Mnyika, mara uhamie kwa Mdee na sasa umehamia kwa Wenje.

hili nalo neno .ata mimi nilikuwa najiuliza huyu mtu mmoja anapigia kura wabunge wawili sasa tena wenje watatu ,sio mzima huyu
 
Wenje anajua 2015 atasugua makalio vijiweni ndio maana anachukua chake kabisa. Wa Mwanza wanamjua vizuri huyu dogo, nakumbuka alikua mabatini kila asubuhi anaomba lifti ya kwenda nyakato, hela ya daladala ilikua ni tabu.
 
Hii ni ishara tosha kabisa kwamba kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya chama hasa mwanza
 
Back
Top Bottom