Wenje katafuna pesa za madawati - Matata

Akiongea na kituo cha Metro fm asubuhi ya leo jijini Mwanza, Matata anamtuhumu wenje kutafuna michango ya madawati iliyopatikana viwanja vya sahara katika harambee iliyohudhuriwa na mtoto wa Raila na kupatikana zaidi ya ml 70.
huyu kijana ni hivyo kabisa, anangojea afukuzwe ndo aseme. Hizi ndo siasa za maji taka zinazoinyemelea CDM. Sana naamini kuwa alistahili kufukuzwa!
 
Tuhuma alizotoa huyu jamaa ni nzito.Chadema inabidi wazichunguze na sio kumchukulia huyu jamaa ni "mfa maji...."

Ni nzito kweli lakini pia huyu jamaa kwanini hakusema mapema wakati akiwa ndani ya chama, rai yangu kwa vyama vingine watu kama hawa si wakuchukua maana unaweza sikia amaechukuliwa na chama kingine wakati weakness alioonyesha ni kubwa, hapa ni sawa na niliishi na Babu N vizuri tuna share problems alafu tunatofautiana tu naanza kutoa siri za babu M
 
Last edited by a moderator:
Akiongea na kituo cha Metro fm asubuhi ya leo jijini Mwanza, Matata anamtuhumu wenje kutafuna michango ya madawati iliyopatikana viwanja vya sahara katika harambee iliyohudhuriwa na mtoto wa Raila na kupatikana zaidi ya ml 70.

My take:
Kwanini asiseme haya kabla ya kufukuzwa na pia yeye na diwani wa Igoma walichanga zaidi ya 17ml mbona hawajatoa mrejesho?

Nadhani adhabu ya kufutwa uananchama ilikuwa sahihi. Namshauri arudi CCM kwani ameshindwa kwenda na kasi ya mabadiliko
 
1. Kuwa ndani ya CHADEMA haimanishi kuwa,kila mtu ni msafi.

2. Kwa kauli namba moja(hapo juu), haimaanishi Mh. Wenje(MB) kafanya ubadhirifu.

Ni vizuri kama UCHUNGUZI ukifanywa, ...ikigundulika tuhuma ni za kweli hatua stahiki zifuatwe lakini pia ikigundulika ni propaganda, hatua stahiki zifuatwe kuwa fundisho hasa kwa kuwepo na wimbi la mamneno/mambo ya uzushaji wa kisiasa...kwani badala ya kutumia muda huo kujenga Taifa, watu wanatumia kufanya "michezo ya sanaa"..Pesa, nguvu, akili nyingi inatumika(kupitia tume mbalimbali) kwa ajili ya maneno ya mtu mmoja..so what if watu 70 wakisema tuhuma tofauti tofauti kwa viongozi wa serikali? Imagine what a loss?
 
Akiongea na kituo cha Metro fm asubuhi ya leo jijini Mwanza, Matata anamtuhumu wenje kutafuna michango ya madawati iliyopatikana viwanja vya sahara katika harambee iliyohudhuriwa na mtoto wa Raila na kupatikana zaidi ya ml 70.

My take:
Kwanini asiseme haya kabla ya kufukuzwa na pia yeye na diwani wa Igoma walichanga zaidi ya 17ml mbona hawajatoa mrejesho?

My take;

Dokta Slaa, alikuwa wapi kusema Samwel Sitta, anataka kujiunga CDM.

Unachotakiwa kupinga kwa ushahidi kuwa Wenye, akutafuna pesa za madawati sio kuja na viroja vya my take.
 
Chadema ni pango la mchwa kwani hata ruzuku wakubwa wanajikopesha.Slaa alitafuna za sadaka kwa ajili ya mapokezi ya Papa John itakuwa ruzuku na michango,sana sana alikiskia atadai ganji yake ayamalize.Wizi mtupuuuuuuuuuu.......
 
Wenje, katafuna pesa za madawati, hawa CDM mbona wanafiki sana sana tukiwapa nchini itakuwaje, Wenje akiwa bungeni mpaka povu linamtoka kwa porojo.
 
hawa chadema hamna lolote hata huyo diwani usikute na yeye yumo.najuta kura yangu kumpa wenje.

Ilikuwa ni haki yako ya kikatiba, hukushikiwa bunduki kumpa kura yako wenje, ulitoka kwako bila kushurutishwa, ukaingia kkt chumba cha kupigia kura peke yako, hata kama ukijuta juta peke yako, majitu mengine ni hasara tu ha ha ha
 
Watu wanaoishi mwanza muda mrefu wanamfahamu MATATA. Ni matata kweli kwa kila namna! kusema kweli atushangazwi ila tunaipongeza CHADEMA kumchukulia hatua. Jamaa ni tapeli tu alie filisika.
 
Huyu matata hana akili na ndio hapa napata hofu juu ya baadhi ya vijana dhaifu ambao kwa nje wamejivisha ikamanda ila kwa ndani ni makada, huyu alikuwa wapi kusema siku zote hizo? Hivi huyu anadhani kwa propaganda zake za kijuha ndio ataweza kukichafua chama?

Sasa huu ni muda muafaka wa chama kupitia wale wote wandumilakuwili ili kuwafunza adabu pumbafu wote kama hawa.
 
Angekuwa na akili angeyasema hayo kabla hajatimuliwa.
Yeye alipokea mlungula toka ccm na aliwahi kubanwa mbavu na vijana wa Chadema kijiwe fulani maarufu pale mwanza akawagawia kidogo ili kuua soo. Kama hiyo haitoshi kwenye kamati kuu alipobanwa kuhusu fedha hizo alizokuwa anawagawia vijana kijiweni alishindwa kuzitolea maelezo.
Mbona na wewe hukusema haya siku zote?umesubiri mpaka ametoka.
 
Watu wanaoishi mwanza muda mrefu wanamfahamu MATATA. Ni matata kweli kwa kila namna! kusema kweli atushangazwi ila tunaipongeza CHADEMA kumchukulia hatua. Jamaa ni tapeli tu alie filisika.
Mwezi ulio pita alikua kamanda sasa amekua tapeli. Je huko mbeleni Slaa akiwahama na yeye mtamwita tapeli?
 
CHADEMA 2010 ilipo pata bahati ya kupitisha mpaka watu wenye sifa mbaya katika jamii,huyu Matata kabla hajawa diwani taari alikuwa na sifa mbaya ya uhalifu na utapeli.Hakuna asiye mfahamu huyu mpaka anakuwa diwa kwa tiketi ya chadema bado ahakuacha vijitabia vyake..CHADEMA haiana tofauti na kokoro ijisafishe kabla hakuja kuchwa
 
Na Lema alikua ni nani? au na yeye mtatoa siri yake akitimuliwa. Inamaana mlikuwa mnajua matata ni tapeli na ni mhalifu lakini akapewa nafasi ya uongozi? Kuna matapelu wangapi wamebaki huko kwenu?
 
Inapofika hapo ndipo ninapojua umakini wa viongozi wa juu wa chadema.kitendo cha kumuengua matata mapema ktk kinyang'anyiro cha umeya mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 mlitumia busara ya hali ya juu, jambo ambalo limemfanya aichukie cdm mpaka leo.kwa nini nasema kilikuwa ni kitendo cha busara kumuengua ktk kuwania umeya;kwanza,ni muda mfupi sana aliokua nao tangu aamie kutoka ccm baada ya kushindwa ktk kura za maoni ndani ya ccm.haikua rahisi kwa mtu ambaye hajakitumikia chama kupewa wadhifa mkubwa wa umeya.Hii inadhihilisha kuwa alikuwa na uchu wa madaraka.pili ni kuhusu mwenendo na tabia yake.kwa ujumla huyu mtu ana sifa mbaya na ya kutisha ktk mji huu wa mwanza.we fika mwanza taja jina matata utaambiwa historia yake utaziba kinywa kwa mshangao.mimi mwanzoni nilishtuka kusikia huyu bwana ni miongoni mwa madiwani ktk jiji.kwa hili uongozi wa cdm mwanza mlionesha udhaifu mkubwa sana kumpitisha huyu,mnatakiwa muachie ngazi.Tatu, matata na chagulani walianza mapema kampeni za umeya mara baada ya uchaguzi kabla hata majina yao kupendekezwa kugombea hali iliopelekea majina yao kuenguliwa matokeo yake wameamua kuendekeza chuki binafsi kwa makamanda wetu kama wanavyofanya wahanga wa uchaguzi wa BAVICHA.
 
Chadema ni pango la mchwa kwani hata ruzuku wakubwa wanajikopesha.Slaa alitafuna za sadaka kwa ajili ya mapokezi ya Papa John itakuwa ruzuku na michango,sana sana alikiskia atadai ganji yake ayamalize.Wizi mtupuuuuuuuuuu.......

bhabha....unauhakika nahaya jamaaaniiii.....
 
Back
Top Bottom