abdallah mbwana
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 203
- 189
mm ni shabiki wa tupac, ila nikisikiliza mashairi yake najiuliza how a young boy died at 25 could write such lyrics. he was genius
Sio hivo tu,huyo demu ameshacheza zile video za ngono.Hapo ndio naonaga ubwege wa will smith sijui akisikiaga wimbo wa 2pac huwa anajisikiaje
Duh basi atakuwa alimwendea kwa babu kabisaSio hivo tu,huyo demu ameshacheza zile video za ngono.
Nani alimuua 2Pac?Mimi ni fan wa 2pac tokea mwaka 95 ......
Tupac alikua ni rapper
Alikua ni mshairi
Alikua muigizaji
Alikua ni mwanaharakati
Alikua ni mtete haki za wanyonge
Kama una swali niulize
* "Baadhi" ya majivu, inavyosemekana. Sehemu ya majivu mengine yalisambazwa sehemu kadhaa. Aliwahi kuimba, "bury me in pieces coz they fear reincarnation". And indeed he was buried in pieces.
* Pac aliitaja Hennessey zaidi ya kinywaji chochote katika maisha yake ya umaarufu. Nilidhani hiki ndio kingekuwa kinywaji chake.
* Kuzaliwa NYC, na kuwakilisha WC sio kitu cha ajabu wala hakuwa wa kwanza au wa pekee. The DOC hakutokea WC, Xzibit hakutokea WC. Biggie Smallz aliwakilisha Bedstuy, na hakutokea huko. T.I. anawakilisha both ATL na WC. According to himself, alijifunza maisha na game walivyohamia WC. Na aliamua kuwakilisha zaidi WC, coz NYC "walimgeuka".
* Dear mama ilitoka Tupac akiwa jela kwa kosa la kumdhalilisha mwanamke, which was quite ironic. Haikuandikwa akiwa jela.
* Mama ake alikuwa akishikiliwa gerezani akiwa na mimba ya Tupac. Hakuwa amehukumiwa. Alishinda tuhuma dhidi yake, kabla Tupac hajazaliwa.
AMBAYO WENGI HAWAJUI KUHUSU TUPAC.
1. Tupac na Suge walishawahi kufanya kazi hata kabla Tupac hajajiunga Death Row.
2. Tupac na Suge walikuwa na same "Boss" (Interscope) kabla Tupac hajasign Death Row. Kuna theory kuwa Jimmy Iovine alimkabidhi Tupac kwa Suge kiaina, kujitenga na controversies, ila kimsingi bado alikuwa chini yao.
3. Tupac ndio alipangwa kucheza role aliyocheza Tyrese kwenye Baby Boy movie. John alikuwa na upendo wa pekee kwa Tupac. Uki-calculate hii mambo, unakuja kuona kuna nafasi kubwa sana Tupac ndio angekuja kuwa Roman kwenye Fast & Furious franchise, kama angebaki hai.
4. Tupac biopic movie inayoachiwa soon, itakuwa ni moja kati ya movies mbovu kabisa kufanyika kwenye game. I'd love to swallow my words.
5. Is Tupac alive?? "Still I ride, I'm never worried/
Mr Machiavelli told me to ride, and I'ma ride/
...it's not the way I wanna live, my n!gga it's how it is/". Machiavelli preached ....? Go figure.
Hahahahaha ni mahaba.Duh basi atakuwa alimwendea kwa babu kabisa
Namba 4 inshaisaka sana bila mafanikio,je waweza nisaidia namna ya kuipata?Muigizaji mzuri kabisa moja ya kazi zake
1.Juice
2.Poetic justice
3.Above the rim
4.Gridlock'd
5.Gang related
Mimi ni fan wa 2pac tokea mwaka 95 ......
Tupac alikua ni rapper
Alikua ni mshairi
Alikua muigizaji
Alikua ni mwanaharakati
Alikua ni mtete haki za wanyonge
Kama una swali niulize
nieleweshe maana ya usela mavi?Alikua msela mavvi na ndio kilichomuua
Hizo ndo adhabu za kumpa mtoto sio mtoto unazaa mwanyewe unapiga kama mama wa kambo kuna adhabu moja huwa nampa mtoto wangu huwa inasaidia sana na anabadilika kwelikweli.Namba 4 ni hatari hiyoo!!!!!
Hebu sema ni adhabu ganiHizo ndo adhabu za kumpa mtoto sio mtoto unazaa mwanyewe unapiga kama mama wa kambo kuna adhabu moja huwa nampa mtoto wangu huwa inasaidia sana na anabadilika kwelikweli.
Mkuu ning'ate sikio will alifanya niniHapo ndio naonaga ubwege wa will smith sijui akisikiaga wimbo wa 2pac huwa anajisikiaje
Kukazimisha watu walale saa Tatu....... Hahahahhaa in kiroboto's voicenieleweshe maana ya usela mavi?
Muuaji.Nani alimuua?
Ubwege wake nin, amuone wivu marehem ama!?Hapo ndio naonaga ubwege wa will smith sijui akisikiaga wimbo wa 2pac huwa anajisikiaje
R.i.p king pac* "Baadhi" ya majivu, inavyosemekana. Sehemu ya majivu mengine yalisambazwa sehemu kadhaa. Aliwahi kuimba, "bury me in pieces coz they fear reincarnation". And indeed he was buried in pieces.