Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

Yaonekana mwanadafada Wema siku hizi baada ya kuachana na almasi a.k.a diamond amekuwa wa kujiachia na kufanya matanuz amabyo duuuuhhhhhhh!!!!!! amekuwa mtu wa shoppings hapa home, na sasa yuko zake dubai kwa ajili ya shopping na matembezi kidogo,


View attachment 47523
hapo akitafuta michuchumiooooo.......................halaaaaa,

View attachment 47524

madiniiiiiii...................usimsahau shamim zeze wa 8020, anapenda huyoooooo



binafsi najarib tafakari ni kazi gan huyu bibie anafanya siku hiz ambayo inamlipa kiasi hicho hadi anafanya hayo na mengineyo zaidi???, je ni hizi bongo movie tuuu au kuna mzito mmoja au kadhaa wanamuwezesha binti na matanuz hayaaaa?????

View attachment 47525

mwenye habari jaman, nani anachukua mzigo huu siku hizi jaman!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????

Mimi hapa ndio DON KING wake.
 
kweli biashara ya kum* inalipa mjini,huyu dogo tokea nianze kusikia anakaa nyagwa ni ktambo sana..si kashaota sugu huyu?for*play masaa matatu na bado mkav*....

kudadeki< na mie ngoja niingie mzigoni, haya mwenye mpunga wa kunipeleka dubai nikafanye shopping na matembezi na makorokoro yoteeee ya mraha< check me basi nami nijilipueeeeee....................he he he he he he heiyaaaazzz
 
anajaribu kufka level zng bt bdo xna mbichi aongezee budii tu na ajenge co kupanga
 
Kumbe kwenda DXB deal?


Imagine??????

Huyo Wema hana deal kwa sasa, hatafuti Maisha yake kama the rest of Miss Tanzania have done.
Yeye ameona huo usichana ndio deal, kubadilisha ma pedejee.
Kwa kweli, wema will go down in history kama Miss Tanzania aliyetia aibu kuliko wote.
 
Kumbe kwenda DXB deal?

Sio kwenda Dubai tu, bali pia kuolewa na Mzungu ndio dili kubwa zaidi.
Maana kuna wengine wanatangaza kuolewa na wazungu hadi wamefungua blog zao, zinazoonyesha wanavyokula na wazungu, wakiwa kitandani na mzungu na familia zao. kweli blog hazina maana kabisa.
Inawafundisha wanawake wengine kwamba kufanikiwa ni kuolewa na mzungu, ili uishi dubai, ili uzae half caste.
Hawaju kuna wanawake wengi sana, wako kimya, wamepigana kwa juhudi zao wenyewe hadi wametoka.
Very simple mind.
 
mbezibeach
{....NI FULL MINYENYERE JAMANI....} ndugu thibitisha neno hilo usiwaache watu na shel bulee ukweli hapo big-up mpendwa ana speed ya kutisha tupo hapa kwaajili ya kuelimisha waungwana kuponda tu! na tukaishia hapo haisaidii tuitendee haki jamii forum kwa kuelimisha mwisho wa siku ushukuliwe na kupongezwa jamii .
 
lol u guys!!!!!!!!!!let ha 2 enjoy ha life asipovaa vizur mtasema kafulia,,,wema move on darln>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>everyone has a right ya kuish as he or she wish r u guys perfect???????
 
Back
Top Bottom