Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

Discussion in 'Celebrities Forum' started by HUNIJUI, Oct 15, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [h=3]WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAOMBA RADHI KWA PICHA ZA UCHI JUKWAANI[/h]
  [FONT=&quot] [/FONT][​IMG][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] Wema Sepetu (katikati) akizungumza na wanahabari katika ukimbi wa habari maelezo jijini Dar kwa nia ya kuomba radhi kwa watanzania kwa niaba yake na msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao kupigwa picha zilizowaonyesha nusu uchi wakati wakijiachia katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Msanii wa Bongo Movie Ant Ezekiel na kushoto Katibu Mkuu wa TAFF Wilson Makubi. [/FONT]
  [​IMG][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] Wema Sepetu Mbele ya kamera akiomba radhi na kusema watanzania “ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana” na tunatumia fursa hii kuomba Msamaha. [/FONT]
  [​IMG][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] Moja ya picha ya Msanii Aunty Ezekiel iliyosamba kwenye mitandao ya Kijamii hivi karibuni wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012.

  CHANZO:[/FONT]
  TANZANIA ONE: WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAOMBA RADHI KWA PICHA ZA UCHI JUKWAANI[FONT=&quot]
  [/FONT]

   
 2. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 852
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 28
  sasa na ayo maji angwtueleza yanatokana na nini tuelewe nasi,,mbutah
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,377
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Sina hata la kusema!
  Hawa ma stars wa Bongo hawana ma managers au washauri?
  Au washauri wao ni waganga wa kienyeji??
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 26,759
  Likes Received: 1,114
  Trophy Points: 113
  Ama kweli huyu binti ni msanii


   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,065
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Wema ni demu wangu muacheni
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 8,563
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48
  upumbavu tu
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 7,875
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 83
  mutu inaomba radhi kwa kuwa mujinga, nawesa samehe yeye?
  kwa kuwa yeye iko mujinga, wajinga wensake itahangaika na yeye.
   
 8. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana tena sana
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 9,868
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 63
  Sa mnataka wafanyaje jamani?
  Mimi naona ni jambo la kiungwana kuitaka radhi jamii ya kitanzania kwa hayo yaliyofanyika, tena ambayo mliyalalamikia kwa nguvu zote.
  Kuna watu wanapenda wenzao waonekane kituko siku zote, sijui ili iweje...
  Maanina!
   
 10. C

  Concrete JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,609
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona hii kitu imekaa kisanii sana, watanzania wanataka hawa wasanii wafanye haya:

  1/Waende kwanza kuomba radhi kule mikoani walikofanyia upumbavu wao
  kabla ya kuja ukumbi wa habari maelezo na mitandaoni.

  2/Washtakiwe kisheria

  3/Wafungiwe kufanya kazi yoyote ya sanaa ya maonyesho.

  4/Wapimwe akili

  5/Walipe fidia kwa kumdharirisha mwanamke na sanaa ya maonyesho.

  6/Wajirekebishe
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 9,868
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 63
  Watanzania wepi hao uliozungumza nao wakakuagiza uwe mwakilishi wao? Mi naona so far so good, mara ngapi wanasiasa wanaporomosha mitusi na husikii lolote la aina hii toka kwao.
  Tuache ubishi usio na mpango, tuwasapoti wasanii wetu kwa hatua yao ya kiungwana.
   
 12. Hashpower7113

  Hashpower7113 JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 43
  Tatzo kwamba hawa hata wakiomba msamaha me naona unafk mtupu coz hawataacha kuvaa nguo za uchi na fupi kwn pale mfano wangevaa nguo za heshima tungeonaje vitumbua vyao, wahajijua wao ni nani wanatakiwa wafanye nn na kwa wakati gan hawajithamin wenyewe shenz taip wanajiona wao wazur kuliko wanawake wote dunian

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 13. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,150
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Tena mkubwa! Kwani walipokuwa wanavaa blauz bila sketi au suruali hawakujua wako uchi?
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 15,578
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 113
  Wanakosea sana wanapoomba radhi kwa picha za uchi walizopigwa,
  Wanapaswa kuomba radhi kwa kuvaa nguo zisizokua na maadili mbele ya watanzania.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 15. Zury

  Zury Senior Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hee mbona nguo ya ndan ya aunt inafanana na fulana ya steve
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 26,533
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 113
  Naona heri hao waliokaa uchi ni ujinga wao,
  je ray aliyesimama kwenye jukwaa akatukana 'mmeanza kunichimba eeh, pumba vu zeu'
  tena akarudia na kurudia tena, walikuwa kitu kama singida (samahani kama nimekosea mkoa)
  ray alivaa t-shirt njano na raba njano.

  Kwanini naye asiombe msamaha?
   
 17. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  tanzania nchi yangu naipenda, tambarareeeeeee, wala hatugombwi!
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 28,355
  Likes Received: 929
  Trophy Points: 113
  Sasa huyu kama ndio mume unategemea mke aweje? haki ya Mungu nikisiki Dada yangu anataka kuolewa na mtu wa Bongo Movie au Bongo Fleva kwakweli na undugu umekufa. ni fedhea tupu kwa familia.


  [​IMG]
   
 19. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tehe! Tehe! Tehe! Eti kuna wajinga wanamuita mfalme wa Bongofleva,labda wangemuita mfalme wa kugonoka
   
 20. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 13,855
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 113
  matapeli na wauza sura wakubwa hawana lolote.
   

Share This Page