Wema Sepetu na Ant Ezekiel waomba Msamaha.

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
48,929
54,142
Mastaa taja hapo juu leo wameomba msamaha kwa tendo lao lililoichefua jamii kwa picha zisizositiri miili yao, Akiongea Wema anasema steji ya fiesta iko juu na waandishi wa habari hukaa chini wanapopiga picha huonekana wako uchi. Ingawa suala lao halihitaji maelezo mengi maana washwahili wanasema PICHA INAOGEA KULIKO MANENO. Nadhani wamekaa na kupitia picha na kuona ukweli wamejitia aibu na kufedhehesha jamii. Wajitahidi wasirudie yaliyotokea maana ni aibu sana. CHANZO TBC TAIFA!
 
Tumesha wazoea ndivyo mlivyo mkipotea machoni pawatu huwa mnataka kurudi kwakasi ila kwahili mmeharibu
 
Ina maana hapo jukwaani wasichana walikuwa wao tu??au ndio ukiwa jukwaani hutakiwa kuvaa kinasa kabisa?maana inaonekana kama hawajavaa kitu,au ndio nguo zao za siku hizi zinaingia katikati ya makalio?kazi ipo dunia hii ya utandawazi inatukimbiza sana
 
Mastaa taja hapo juu leo
wameomba msamaha kwa tendo lao lililoichefua jamii kwa picha
zisizositiri miili yao, Akiongea Wema anasema steji ya fiesta iko juu
na waandishi wa habari hukaa chini wanapopiga picha huonekana wako uchi.
Ingawa suala lao halihitaji maelezo mengi maana washwahili wanasema
PICHA INAOGEA KULIKO MANENO. Nadhani wamekaa na kupitia picha na kuona
ukweli wamejitia aibu na kufedhehesha jamii. Wajitahidi wasirudie
yaliyotokea maana ni aibu sana. CHANZO TBC TAIFA!

achana na Ma****ya hao! wanaendeleza biashara yao!
 
hii nayo ni news?

teh teh teh...how was insanity being said by Albert Einsten....Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.
Albert Einstein

Probably now its time to look into ourselves. Labda hatujitambui au hatutambui tunalofanya ndio maana kila kitu ni news.
 
Na yule aliyevua nguo hadharani naye atasemaje, kwanza nimekumbuka kuna mmoja wao alikuwa amejikojolea kabisaaaaa, akasema eti alikalia maji hovyoooooo! ...Je mnahitaji msamaha wakati steji iko juu na wapiga picha wako chini, nadhani waandaji ndio wenye wajibu wa kuomba msamaha eti?
 
Back
Top Bottom