kwani akienda kuvua chupi atakuwa anatuabisha?? mbona tatiana alimvulia kwa sana Brother Rich na akafika mbali kwenye BBA2? Kuvua ni lazima watoto wa Bongo wavue hata aende nani, si mlimuona latoya alivyokuwa kicheche katika muda wa wiki mbili tu? denda alitoa kwa jemba tatu!!!!! Kupitia kwa Bro Richard tuliwa.... waangola, acha nasi zamu yetu watushughulikie wengine. Awe Wema au Elizabeth au demu yeyote wa kibongo, ngono lazima nje nje tu!!!!
Kufanya kosa sio kurudia kosa bali kosa kurudia kosa.
Tusiendelee kumuhukumu Wema wakati alishatubu na kujutia makosa yake, kama ni kweli yeye ndiye mwakilishi wetu huko basi hatuna budi kuondoa yale mabaya yote aliyoyafanya na kufuata mazuri yote na kumpigia kura nyingi tuwezavyo ili haeshima ya jina TANZANIA irudi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.