wema sepetu.....kwa uzoefu wangu......

Boss jungu hilo unalipika!

sio jungu
actually i feel sorry for her
nahisi anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi...
matendo hayo anayoyafanya
yeye anaona anamkomoa baba yake,nahisi mimi
 
Je amelelewa ndani ya familia nikiwa na maana ya baba na mama? That could be a reason hana anayemuogopa. Unajua wawili ni wawili, mama akiwa mpole basi baba ana fidia and vice versa. Sasa watoto wanaolelewa na single parents wengi wanakuwa na matatizo ila si wote.
 
Je amelelewa ndani ya familia nikiwa na maana ya baba na mama? That could be a reason hana anayemuogopa. Unajua wawili ni wawili, mama akiwa mpole basi baba ana fidia and vice versa. Sasa watoto wanaolelewa na single parents wengi wanakuwa na matatizo ila si wote.

nasikia pia,wazazi ni dini tofauti
na hakufundishwa dini yeyote
so hana wa kumsikiliza
sio padri wala imam
 
Kuna mahala nilisoma alikuwa anahojiwa akadai watu wanamfutafuata sana kwa mambo ambayo s'times ni uzushi so anaamuaga afanye vituko tu ili kama noma basi naiwe noma
 
Kweli boss, kuna watu ni wachafu zaidi ya wema. Na ni watu tunaoiteract nao karibu kila cku ila wema anaonekana kama vile ni mtu aliyeshindikana kabisa. Tatizo linaweza kuwa sio yeye maana hata nyie wanaume mna nafasi kubwa ya kumfanya mwanamke awe malaya au atulie.
Tusiwe wepesi wa kuhukumu maana kila mtu ana uchafu wake.
 
tatizo inawezekana ni malezi, sasa mtoto tangu utotoni hajawani hata kupelekwa kwenye nyumba za ibada atamjua wapi mungu, kila a analolifanya sasa hivi analiona ni sawa hakuna jinsi inabid tumuombe mungu ndio anaweza kumbadilisha maana enzi zetu mtoto kama huyo mtu mzima yeyote anaweza kumkanya ila sasa hivi utatukanwa bure kama wazazi wake wenyewe wako kimya.
 
hapa jf sasa hivi kuna thread nyingi za wema sepetu

kwa ujumla zote zinamponda kama alieshindikana hivina kadhalika

na kwa watanzania pia mtazamo uko hivi hivi........

niseme binafsi nimewahi kuona ndugu zangu wawili katika ukoo

mabinti,waliokuwa na tabia kama za wema.....

yaani,walikuwa kama wameshindikana hivi kwenye masuala ya ngono....

hawaambiwi,hawasikiii

it turn out wote wawili,licha ya kuwa na wazazi tofauti....

ilikuja kugundulika baadae chanzo cha matatizo yao ni baba zao..

how. walikuwa sexually abused na baba zao......

mmoja alikuwa akipelekwa shule na baba yake,
wakisafiri anageuka mke wa baba yake huko safarini,wanafikia chumba kimoja cha hoteli
na kadhalika.........

sasa walipoanza kucharuka,cha ajabu baba zao licha ya kuwa wakali saana
walikuwa hawachukui hatua yeyote ile kwasana......


tukija kwa wema,tujiulize,mbona baba yake yuko kimyaaa sana?

halafu mbona inaonekana anaelewana vizuri tu baba yake???????/

sisemi ni kesi hiyo hiyo,but kwa uzoefu wangu
naweza kusema,wema akichunguzwa vizuri na akipata therapist wazuri
am not so far from the truth, trust me

I tend to agree.
 
Kuna ka harufu ka facts hapa. The Boss ww unaweza kumsaidia huyu binti kwa ushauri nasaha
 
Kweli boss, kuna watu ni wachafu zaidi ya wema. Na ni watu tunaoiteract nao karibu kila cku ila wema anaonekana kama vile ni mtu aliyeshindikana kabisa. Tatizo linaweza kuwa sio yeye maana hata nyie wanaume mna nafasi kubwa ya kumfanya mwanamke awe malaya au atulie.Tusiwe wepesi wa kuhukumu maana kila mtu ana uchafu wake.
Angalia aina ya wanaume anaowapata kuwa wapenzi, hiyo ni picha tosha!
 
angalia aina ya wanaume anaowapata kuwa wapenzi, hiyo ni picha tosha!

mkuu wanasaikolojia
wanasema mabinti walio abused na baba zao sexually

wanakuwa na tabia hizo za kumuamini haraka kila mwanaume
pili hawajithamini saana,
wanakuwa wanauona mwili wao kama mchafu
na hauna thamani
tatu wanakuwa kama wanalipiza kisasi hivi kwa baba zao
kwa kugawa gawa kwa watu wengine ovyo vyo....
 
Back
Top Bottom