Wema sepetu inatosha !

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Mimi najiuliza hasa, hiki kizazi cha sasa vipi ? Kwa maana wanauchukulia uchumba kama ni kitu gani ?

Wewe umeshavishwa pete mara kibao, ndoa hatuioni.Lakini haukomi , bado tu unaendelea na mipete yako !

Umegeuzwa kama BIG G , yaani mimi nasema inatosha Wema.

Kumbuka "pete si ndoa" hata huyo nae atakuacha mara utamu wa jojo utakapokwisha !

View attachment 55255
 
Hii inasababisha watu waone kama mashindano ya urembo ni UMALAYA, haiwezekani aachwe yeye aidhalilishe tasnia ya urembo na sasa BONGO MOVIE na ndio maana kuna msanii ameimba kuwa MAKAHABA wa ukweli kama sijakosea wanapatikana BONGO MOVIE ni aibu kwakweli na sio sifa.
 
mtoa mada ucpende kuchukulia habari juu juu,hiyo ni muv ya wema wanarekodi wala haihucian na mapenzi ya kweli,pili hata kama ingekua kweli mwacheni maisha yake hayawahusu jamani,tatu kama alivyosema mtu hapo juu huku mtaani wapo wengi tena sana bt kwa kua cio mastaa hakuna media inayowafuatilia.MWACHENI MTOTO WA WATU AFANYE MAISHA YAKE KILA CKU YA WENZENU YENU MTAYASEMA LINI?
 
wengine huko mtaani wanagongwa kila siku..... Si ajabu wanajaza costa.................... Ila hamuwasemi.....

Mwacheni, maisha yake, mashine yake na vidole vinavyovaa pete ni vyake...
Ukweli unaumiza sana. Uliyoyaandika ni ukweli mtu. Na siyo tu hao wanaojiuza ila ni watu kabisa na heshima zao na msitazame upande wa wanawake tu na hata wanaume na tena ndo vigogo wakubiligisha na kupamba viburudisho kila aina, na mbaya zaidi hawachagui. Mimi sioni umhimu wa kumnanga sana huyu Wema, ni umaarufu wake ndo unamponza. Majogoo ndo yanamatatizo
Nakuomba wema upumzike na mapenzi au kama hauwezi tafuta underground uone hawa wataandika nini.
 
Mtoa mada uwe unahakiki habari ,usipotoshe jamii kama shigongo crew.. Alikuwa anarecord movie yake,coming soon..
Muwe mnafatilia habari hadi mwisho,huko huko kwenye sources zenu.. Na siyo headings tu,mtaumbuka..
Hata kama ingekuwa pete kweli,kwani demu wako uyo.. despite, ni maisha yake hayawahuu
 
Duuh, hajijui masikini men are dogs, wakishamaliza hamu wanamtupa!
 
SIAMINI KWAMBA WEWE ULIYEANZISHA HII POST HUJUI KUWA LIKUWA NARECORD MOVIE. lol.......
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom