wema Sepetu Glitter Night

Hiyo ni weave ni hair style tu,zipo weave na wigi za aina nyingi Afro,Dread lockcs,Straight,Curl ni hair style tu,hadi mawigi ya yeboyebo yapo,nashangaa jinsi unavyokuza,eti kuvaa hayo ndio kujiuza...

Kujiuza ni zaidi ya nguo na nywele.

Unashindwa kuniaminisha kuwa hizo sio nywele maiti, au nywele bandia. Jee, hizo ndio za kuzaliwa? unanitajia majina ya kibiashara ambayo siko familiar nayo, uzipe jina lolote upendalo ukweli unabaki kuwa si za asili. Na kama hutumii kujibandika nywele maiti ili uwe na mvuto "attraction" ya kuuzika unazitumia kwanini? zako zina kasoro ipi?

Bado siamini kama hizo nywele ni za Mwafrika Mbantu, zimefanana sana na za Waasia na Wahindi wa Amerika au Wazungu wa Mediterranean, kwa uzoefu wangu wao ndio mara nyingi huwa "brunette".
 
vyovyote..
 
mmh hawa ni dada zetu wake zetu wadogo zetu na ndugu zetu so pia kama kulaumiwa we ol have stake,coz we ol have contribution in this
 
mwanamke kujiacha maungo nje na kujipaka kila aina ya rangi usoni, kujichubuwa ngozi kwa kutumia kila aina ya mchubuo unaojulikana duniani, kuanzia mafuta ya jenereta mpaka vidonge vya arv, kujibandika manywele ya maiti na kwenda kujianika mbele ya halaiki ya wanaume, kama si kujiuza ni nini?
zomba akili yako kwaninii ni mbovu hivi kweli mpaka karne hii unaita nyele za maiti kweli unaishi wapi,.hizo ni synthetic fibre ni nylon za kawaida tu zomba ila zinatengenezwa kulingana na quality.the best quality its like human hair .kwa mtazamo wangu zomba una tatizo moja nenda ukaishi kwenye sayari yako mwenyewe dinia hii babu utakereka tu uu,makanisa ,mavazi vyote kero kwako advice -fly to mars planet scientifically ina support life as earth utaenjoy tu mbona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom