Wema Sepetu, bora usingejichubua

Status
Not open for further replies.
Dec 10, 2011
78
21
I wonder what happened to keeping it real. Madada zetu siku hizi wanasikitisha sana. Nilikuwa nampenda sana Wema hasa kutokana na uzuri na mvuto wake.

Wema alikuwa ana rangi nzuri sana kipindi cha nyuma kabla hajaanza kujichubua., sijui nani amemdanganya weupe ndio dili. Ukiangalia picha zake za zamani ni tofauti sana na za sasa., sasa hivi amekuwa kama katuni., magoti yake yamejaa alama, mishipa ya damu unaiona bila hata kutafuta, this is sooo bad.

jamani madada jitahidini kukeep rangi zenu. halafu siku hizi kujichubua ni ushamba., its for the uncivilized people., embu cheki picha zake za zamani hizo mbili na alivyo sasa(alizopiga kwenye nyumba yake mpya)., kwa kweli kwa hili nimemshusha wema kwenye list yangu ya walimbwende. kama kuna rafiki yake yeyote jf jamani amshauri huyu binti aache KUJICHUBUA.. THIS IS TOO MUCH....!
 
Attachments

  • wemabc1.jpg
    wemabc1.jpg
    13.5 KB · Views: 1,018
  • wema oldd.jpg
    wema oldd.jpg
    13.7 KB · Views: 1,303
  • new wema.jpg
    new wema.jpg
    25.6 KB · Views: 1,081
  • wema sasa.jpg
    wema sasa.jpg
    25.6 KB · Views: 926
  • wema new.jpg
    wema new.jpg
    24.7 KB · Views: 941
Kalulu metusela,Unaposema kujichubua ni for the uncivilized,so do u thnk she is civilized?Kua celebrity wa bongo dznt make u civilized,unless u have a different understanding of civilized
 
...hii tabia ya kujichubua mtu akianza kuacha hawezi, anakuwa "addicted". na akija kufanikiwa kuacha basi rangi yake/ngozi yake huwa mbaya mbaya mbayaaaaa....!!!! ni ulimbukeni tu wetu sie wasichana/wanawake, tunahisi weupe ndio uzuri kumbe wapi..... black is beuty....am proud of my chocolate colour...!
 
Huu ugonjwa wa kuthamini uzungu unaitwa negro-negrophobia,ndo uliwaathiri na kina michael jackson,kuamini kila cheupe ni superior

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
She used to be a beautful darkskin Girl.
Sent from Blackberry Bold 9900 using Jamiiforums
 
wanatumia kitu inayoitwa OBAGI.....yani hiyo hata chausiku anakuwa kama mwarabu
 
I thought I was the only one seeing this, asante sana mdau kwa kulileta hili jamvini.
Kiukweli Wema kajiharibu sana, hata picha alizopiga juzi kwenye uzinduzi wa filamu yake ni balaa, yani hana mvuto tena.

Mnaomfahamu tunaomba mumshauri, ni kwa mema tu.
No offence intended.

I wonder what happened to keeping it real. madada zetu siku hizi wanasikitisha sana. Nilikuwa nampenda sana wema hasa kutokana na uzuri na mvuto wake. wema alikuwa ana rangi nzuri sana kipindi cha nyuma kabla hajaanza kujichubua., sijui nani amemdanganya weupe ndio dili. Ukiangalia picha zake za zamani ni tofauti sana na za sasa., sasa hivi amekuwa kama katuni., magoti yake yamejaa alama, mishipa ya damu unaiona bila hata kutafuta, this is sooo bad. jamani madada jitahidini kukeep rangi zenu. halafu siku hizi kujichubua ni ushamba., its for the uncivilized people., embu cheki picha zake za zamani hizo mbili na alivyo sasa(alizopiga kwenye nyumba yake mpya)., kwa kweli kwa hili nimemshusha wema kwenye list yangu ya walimbwende. kama kuna rafiki yake yeyote jf jamani amshauri huyu binti aache KUJICHUBUA.. THIS IS TOO MUCH....!
 
huko ni kutafuta cancer za ngoz za kujitakia, mdada kawa mweupe kama karatas, kaharib sana kwa kweli, hope wengine tunajifunza kitu kwa huyu na wengineo kama yy, tuache kumkosoa mungu jaman
 
I wonder what happened to keeping it real. madada zetu siku hizi wanasikitisha sana. Nilikuwa nampenda sana wema hasa kutokana na uzuri na mvuto wake. wema alikuwa ana rangi nzuri sana kipindi cha nyuma kabla hajaanza kujichubua., sijui nani amemdanganya weupe ndio dili. Ukiangalia picha zake za zamani ni tofauti sana na za sasa., sasa hivi amekuwa kama katuni., magoti yake yamejaa alama, mishipa ya damu unaiona bila hata kutafuta, this is sooo bad. jamani madada jitahidini kukeep rangi zenu. halafu siku hizi kujichubua ni ushamba., its for the uncivilized people., embu cheki picha zake za zamani hizo mbili na alivyo sasa(alizopiga kwenye nyumba yake mpya)., kwa kweli kwa hili nimemshusha wema kwenye list yangu ya walimbwende. kama kuna rafiki yake yeyote jf jamani amshauri huyu binti aache KUJICHUBUA.. THIS IS TOO MUCH....!

Wema.jpg

Hebu cheki Wema alivoharibika. Inasikitisha sana.
 
Kalulu metusela,Unaposema kujichubua ni for the uncivilized,so do u thnk she is civilized?Kua celebrity wa bongo dznt make u civilized,unless u have a different understanding of civilized
Yani mimi mara ya kwanza nilimuona very civilized and educated., but unachokisema sa hvi nimekiamini.. Celebs wengi cku hizi ni uncivilized
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom