Anahitaji boyfriend mpya.....i can handle it.....
Anahitaji boyfriend mpya.....i can handle it.....
tehe tehe tehe nataka nimsaidie hafikishwi......heheheheeee.....bado hujapata demu tu?
arrrg mkuu ile listi wengi wanasingiziwa akiwemo yeye...Yupo kwenye orodha ya Liyumba huogopi mazee ajali kazini?
tehe tehe tehe nataka nimsaidie hafikishwi..
amehusu Zenj, kuna vionjo fulani hapatiwi na viboy wake..tehe tehe tehe nataka nimsaidie hafikishwi......
mabrazameni wanamchezea.....acha fiksi.....
hata landline napiga.....amehusu Zenj, kuna vionjo fulani hapatiwi na viboy wake..
Nilijua wewe ni mzee wa tiGo tu!hata landline napiga.....
natumia landline mkuu zile za kuroga.....hazina mawimbi na sauti inasikika vizuri..pia hazina gharama.....tigo noooNilijua wewe ni mzee wa tiGo tu!
Ni mchanganyiko wa mapenzi na wivu...It seems as if kila mchangiaji hapa anaamini kuwa huyu mtoto amefanya hilo alilofanya kwa kuwa tu 'amechanganyikiwa'. Hivi kuna anayejua sababu halisi haswa iliyopelekea yeye kutenda kosa hilo? Kuna mambo yanatokea kwenye maisha ya kila siku ambayo yanaweza kuku push ukajikuta unafanya mambo ambayo hata hukutarajia!
Ni mchanganyiko wa mapenzi na wivu...
Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu atupwa lupango Dar
MISS Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu na mwenzake, Asha Jumbe, wakazi wa Tabata Senene jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na tuhuma ya kuharibu mali.
Akisoma hati ya shtaka hilo, Mwendesha Mashtaka Inspekta wa Polisi, Nassoro Sisiwahy mbele ya Hakimu Mfawidhi Emillius Mchauru alisema kuwa watuhumiwa hao walitenda kosa hilo Januari 29 majira ya saa 3:00 usiku maeneo ya Magomeni Mikumi, Dar es Salaam.
Nassoro alidai kuwa siku ya tukio hilo watuhumiwa hao waliharibu kioo cha mbele cha gari aina ya Toyota Rav 4 yenye namba ya usajili T.993 ASD.
Mwendesha mashtaka alidai kuwa kioo cha gari kina thamani ya Sh 1,000,000 mali ya Stephen Kanumba.
Hata hivyo, watuhumiwa hao walikana shtaka hilo na walipelekwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya Sh 500,000, wadhamini wawili, mmoja awe mtumishi wa serikalini.
Awali, mtuhumiwa wa kwanza alikuwa ana mdhamini, lakini cha kushangaza alipofika mahakamani hapo alidai kuwa alikuwa amesahau barua zake kwenye gari.
"Mheshimiwa hakimu naomba nikachukue barua za kumdhamini kwani nimezisahau kwenye gari nilipoitwa mimi nikaja bila kuzichukua, "alisema mdhamini wa mtuhumiwa wa kwanza
Baada ya muda kupita hakimu Mchauru alisema, "Yaani mahakama imsubiri mtu aenda nyumbani kuchukua barua za kumdhamini mtu, kesi hii naiahirisha hadi hapo itakapotajwa tena Machi 18".
Source: Mwananchi
Ni kama hivyo, kwani kesi yenyewe ni ya kuvunja kioo cha gari la Kanumba, Well mwanamke/mwanaume akifikia hatua hiyo kwa mpenzi wake mara nyingi ni kutokana na wivu.Ina maana Kanumba alikuwa mpenzi wake harafu akamumwaga ndio ikamtia hasira au ni vipi?