Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?Inawezekana anatimiza miaka 27 tangu azae, na alizaa akiwa na miaka 20 ( mimba iliharibika,)
Inawezekana ni kweli alishawahi kusema 2006 wakati anagombea umiss alidanganya kwamba ana miaka 18 ili aruhusiwe kugombea kwani alikuwa hajaitimiza, sasa hata kama hakudanganya tuchukulie ni kweli alikuwa na hiyo miaka 18 mpaka leo ni 28 kwa hiyo ndo hivyo kajipunguzia mwaka 1Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Miaka yangu tu ndio inasogea yakwao ipo pale pale.Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Sitti Mtemvu alikuwa na miaka mingapi?Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?
Inawezekana ni kweli alishawahi kusema 2006 wakati anagombea umiss alidanganya kwamba ana miaka 18 ili aruhusiwe kugombea kwani alikuwa hajaitimiza, sasa hata kama hakudanganya tuchukulie ni kweli alikuwa na hiyo miaka 18 mpaka leo ni 28 kwa hiyo ndo hivyo kajipunguzia mwaka 1
So inabidi iwe 28, na inategemea hiyo miss Tz ilikua mwezi gani.Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?